1. Kujua ni vitu gani utakavyokuwa unafanya na hela yako/kujua matumizi ya pesa unapojua utaipata
2. Kuacha matumizi/manunuzi yasiyo ya lazima mf. kunywa soda/bia nyingi kwa siku na kutoa ofa...
Habarini zenu!
Leo ninakuja na kero nimeivumilia sana, sijui kama wengine inawakera au ndio kawaida.
Tabia ya kuombana hela ili hali na wewe umeajiriwa kama mimi.
Nimeiona hii pale ninapoenda...
Bhana Mzee mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam liko tatizo kubwa wakazi wa Dar es Salaam ambalo linahitaji kauli yako kwakuwa linaonekana kama la kiimani zaidi. Ni lakiimani lakini linaathiri afya...
Ninachokiona baada ya mikutano hii,ni mijadala yenye itikadi ikizaliwa upya
Huyu anaongea hik anatetea hiki,
Mara dini hii ina haki hii
Mwingne anataka dheheb lake nae lipewe nafas sku1 pale...
Au ndio inawaterm kuwa ni wajinga wa mwisho?.kwa kuwa wamefeli kuandika na kufaulu mitihani ya makaratasi.
Nashauri Serikali au taasisi mbali mbali ziangalie jinsi ya kuwakusanya na kuangalia...
Wakuu, kuna kitu nyeti sana ambacho binadamu hupenda sana kujisahaulisha , kukipotezea na hatakagi kukisikia ; KIFO ! Wengi wameshakufa, bila shaka mimi na wewe ipo siku tutakufa tu (iwe isiwe) na...
Niliwahi kuwaza jinsi mwanasiasa anayeitwa Bernard Membe atakavyokwenda pale Mtaa wa Lumumba katikati ya jiji la Dar es Salaam. Mwishoni mwa Novemba mwaka jana wakati tukikaribia kuuga mwaka...
*Taarifa Muhimu*
Kuna zoezi litafanyika hivi karibuni la watu wa idara ya kazi kupita nyumba kwa nyumba juu mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani pia...
Kudadeki nimegundua kuna elimu kubwa sana kuhusu dunia na haina usiri wowote kuweza kuifahamu ila kutokana na baadhi yetu tumepewa elimu ya kutupumbaza kiukweli elimu tuliyo pewa imeacha maswali...
Watu wanajua namna mambo yalivyo huku mtaani lkn wakipata nafasi wanakuwa kama mamba waliokutwa nchi kavu wengine n watu tunaowaamini sana ktk jamii.
Unaweza kuhisi huku mtaani hakuna tatizo...
Kama nilivyoandika hapo juu kuwa hongereni sana kwa kusimamia maadili hususani kwa waumini wenu na hilo halina shaka kuwa baadhi ya madhehebu tumeyumba sana hususani katika mavazi.
Jana...
"Mheshimiwa Rais Magufuli, demokrasia ni muhimu. Watu wana hofu hata kama huambiwi na watendaji wako.
Kama kazi baba unapiga kweli, wewe waache wazungumze maana WATANZANIA hawatachagua maneno...
Kila nikinunua kifurushi kupitia mpesa, nikijaza vocha, nikituma pesa nilikua nikipewa tunzo hatimaye leo nilikua na tunzo 3000 sasa nikaamua niziconvert kuwa pesa niziingize Mpesa si ndio...
Mimi hadi nashangaa. kila mtaa utakuta nyumba ya mganga wa kienyeji na kila njia au barabara ina mabango ya waganga wa kienye wengine kutoka sumbawanga, congo na nigeria. watu wanye maduka...
Nili renew lesen yangu toka mwaka jana November wakaniambia watanipigia simu kunijulisha kama lesen yangu tayari nikachukue
Ila mpaka leo tarehe 23 hakuna simu wala nini, Sasa nilitaka kesho...