RC Mwanri 'alivyomkaba koo' Massawe kuhusu rushwa

FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
959
1,000
cha moto kakiona , masaa 48 kukaa sehemu ambayo hujui ni muda gani saa hivi si mchezo.
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,676
2,000
Masaweeeee
Yaani simu zake hatumii kwa kula
Du jamaa ameujua mchezo zamani
Hii ndio inaitwa work experience

Sent from my SM using Tapatalk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom