Nijuze kuhusu internet ya Airtel

Nijuze kuhusu internet ya Airtel

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,577
Guys, habarini za usiku huu. Kuna kitu najiuliza sipati jibu ni kuhusiana na internet ya airtel ambayo mpka leo hii wapo 3G na inaonekana hawatak kabisa kwenda juu kwenye 4G km tigo au vodacom. Nataman sana ninunue line yao ila hilo linanikwaza maana sipend simu iwe slow kwenye internet. Napenda kitu ikiguswa imepaa. Yaan wakat dunia inapaa kwenda 5G jamaa bado wapo na 3G, tatizo ni nini au mie ndio sina elimu ya kutosha kuhusu hilo?
 
Kwa taarifa yako hao jamaa na 3G yao ni uhakika muda wote kwa decent speed kuliko majanga ya Tigo na Voda.

Mimi ninazo line zote Tigo, Halotel, Voda na Airtel.

Utakuta wakati flani voda au tigo inakimbia balaa kisha baadae hakuna huduma ni mwendo wa 2G a.k.a GPRS ni kinyonga slow ya kichefuchefu au hakuna kabisa net hasa mida ya mchana mchana.
 
Hapana aisee...airtel alikuwa hivyo miaka michache nyuma lakini saiv airtel internet speed yake ya kawaida sana, yani sasahivi nmetoka kuingia playstore inafunguka lakini picha za app hazifunguki nikahisi labda ni simu yangu nika switch data to tigo yani nikiingia to playstore kila kitu kinafunguka. Hawa jamaa saiv speed yao imedorora sana japo miaka ka miwili mitatu nyuma ilikuwa strong sana na sijui kwanini hawana 4G. Ni miaka zaid ya mitano natumia airtel nawaelewa vzuri tu. Ila kiukwel saiv airtel kaachwa na tigo kwenye internet speed kama nina vitu vyangu vya msing ntaweka vocha tigo nivi download nitatumia mda mchache sana with tigo 4G kuliko airtel. Kwa kifupi ni kwamba nowadays wana poor internet speed. Sema kinachonibakisha huku labda ni vifurushi vyake nafuu kuliko tigo tu. Ila nafikira saiv ibaki laini ya kupokea simu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom