JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Wanachama walionufaika na elimu ya ujasiliamali Namaingo wajivunia ukuwaji wao wa fikra na kiuchumi kupitia elimu hiyo na mabadiliko ya fikra waliopokea kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Miongoni mwa wanufaika ni Mr Lisakasa mwanachama wa Namnyamba mkoa wa mtwara anmekiri kuwa na na mabadikiko baada ya kufanya maamuzi mwenyewe kutokana na elimu aliyopata
"Elimu ya ujasiriamali ni jambo moja unachotakiwa kuwa nacho kingine ni maamuzi yako wewe kuwa tajiri au kama ulivyo..kwa kufanya kazi sio vinginevyo" alisema
Sent using Jamii Forums mobile app