Wanachama wa Namaingo wafunguka..

Wanachama wa Namaingo wafunguka..

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Wanachama walionufaija na elimu ya ujasiliamali wajivunia ukuwaji wao wa fikra na kiuchumi kupitia elimu na mabadiliko ya fikra waliopokea kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya Namaingo.

Mr Lisakasa ni mwanachama wa namnyamba mkoa wa mtwara ameipongeza kampuni kwa kumfungua kifikra na amethubutu kusema kwamba watanzania wanao lalamika kuhusu huduma ya kampuni hii niwa chuuzi sio wawekezaji kwani uwekezaji ni jambo la kuchukua muda kujifunza mambo mapya kujitambua kisha kudhamiria kujikomboa

Wameongeza kwa kusema pongezi kubwa ni kwa mkurugenzi wa kampuni hiyo kwa kuendelea kuwavumilia wale ambao wahajajitambua wamemsihi aendelee kuwapa elimu ili na wao wajikomboe kifkra

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190124-WA0185.jpg
    IMG-20190124-WA0185.jpg
    22.8 KB · Views: 24
Back
Top Bottom