Kupata message ya luku iliyochelewa

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,330
2,000
Habari wana jamvi nishawah pata message kuwa kuna namba unatuma ili kupata message ya luku iliyochelewa au uliyofuta bahati mbaya kama kuna mtu anakumbuka naomba anijuze
 

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,948
2,000
Msaada kwa anayejua jinsi ya kupata miamala ya mwisho ya luku .
Imetokea bahati mbaya nimefuta token kwenye simu kabla sijaziingiza kwenye Meter
Wajuzi shusheni code za voda na tigo
Nenda ofisi ya tanesco iliyo jirani na wewe umuone mhasibu umwambie umepoteza au umefuta meseji za tokeni atakupa nyingine.

Au piga simu namba ya tanesco huduma kwa wateja.

Hakuna kinachopotea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom