Anga sio sehemu ya dunia bali sehemu ya ulimwengu

Anga sio sehemu ya dunia bali sehemu ya ulimwengu

Nilijua umekuja na full mada ya kututoa huku tulipo kumbe na ww unauliza tunaonaje?
 
Mkuu ungeanza na data kidogo then mjadala unanogo,sasa umekuja na skeleton tu
 
Ulimwengu ni nini? Umeundwa na vitu gani? Au unajumuisha vitu gani?
 
Back
Top Bottom