Asante sana@ISLETSEliudi kama ilivyoandikwa katika Mathayo 1:14, 15, na maana yake kiebrania inamaanisha "Mungu ni mkuu" au "Ukuu wa Mungu" tafsiri ya moja kwa moja toka kiebrania kuja kiingereza ni "God is grandeur"
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, vip uelewa wako juu ya Eliud.Kwanza ni abiud au ni Abihud
Kama ni abihud basi maana yake ni hii
The( devine) father of glory
Baba wa utukufu "
Kuna wahusika wawili wa kibiblia wenye jina la abihud .mmoja wa mwana wa Benjamini aitwaye ahihud (historia 8:3.7)
Na mwana au mjukuu wa zerubabeli na baba wa eliakimu ( mathew 1:3 abihud )
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia inaeleza kuwa Eliud alikuwa ni mtoto wa Achim .. kama ilivyo elezwa katika Mathayo (1:14)Asante mkuu, vip uelewa wako juu ya Eliud.
Kamuulize abiud yupo sinza
Hili sio jibu la Great Thinker