Shule ya Msingi Mountain Hill iliyopo Kimara King'ong'o inateketea kwa moto muda huu, Watoto wote wasalimika

IMG-20190128-WA0195.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkuu zima moto wamefika? Au wamefika na gari bila maji maana huwa siwaamini kabisa.
 
Unakumbuka kile kisanga kule bariadi Simiyu mwaka jana? Tena nakumbuka mpk ter 7-jun-2018, Eti gari ya zima moto imefika tu eneo la tukiooo ikaanguka maji yote yakamwagika, wananchi wakaaza kuchota maji kuzima wenyewe huku gari Imekaa pembeni ina starehe ma dereva wake. Hahhaaa lile tukio lilinifanya nielewe kwa nn Bongo michezo ya bahati na sibu inategemewa ktk pato la taifa.
Vipi mkuu zima moto wamefika? Au wamefika na gari bila maji maana huwa siwaamini kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom