Hawa Madada poa hapa Mafiat Mbeya wameanza lini?

Hawa Madada poa hapa Mafiat Mbeya wameanza lini?

lindunduru

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
392
Reaction score
555
Nilizoea kuwaona hawa Madada poa Dar es salaam,Chalinze, Kahumba - Morogor,na kwingineko.Ila sasa cha ajabu jana katika pita pita zangu nikaona Madada poa wamejipanga pale Mafiat,Nilistuka kwa sababu sikudhania.Hebu nipeni udhoefu wameanza lini?
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carnival hapo wapo miaka mingi sana kitambo walikua wanakua ndani humo Carnival sasa wapo wengi ndio maana unaona wanazagaa nje na bara barani...
 
Walikuaga Carnival pub waanza kufukuzwa na kufanyiwa fujo sana baadae nikaanza kuona wanapotea. Sasa hivi wameibukia mafiat mataa pale naona ndio wamepata sehemu nzuri ya kusitiri biashara yao.

Ila ni wabaya tofauti na wale waliokuwaga Carnival.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hi hatari kwa maadili na makuzi ya wanetu.
Hatari sana 'In shekhe kipezeo's voice'

Back
Top Bottom