Wakuu msaada, Kuna kiumbe amening'ata kidole sikufanikiwa kumuona kwa macho ila tangu asubuhi kidole kimekufa ganzi

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,544
15,216
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu.

Hadi sasa sijajua ni Ng'e, Nyoka, Tandu, au viumbe wengine korofi wasiojulikana.
Nimepiga patrol eneo lote tukio liliponipata sijaona hata kiumbe yoyote niliyemtilia shaka.

Mdau wangu akaniambia atakuwa nng'e, Nikaendea na michakato lkn hadi sasa kiwango cha maumivu na uganzi kiko palepale.

wakuu atakuwa mbabe gani kafanya mambo. Binafsi nimeamua kupotezea maumivu na ganzi yafe kiasili, Je ninaweza kupata athali yoyote?

Msaada wakuu na wakurugenzi mbalimbali,
 
Nenda Hospitali watakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe la Sumu vipi mkuu. Kesho Kikisumbua ntaenda kuwaona hao mabwana wa Hospital.
Ila nimeona kama ni ishu ambayo inaweza kuisha tu naturally maana nimeendelea na kazi ngumu ya mikono tangu saa moja nilipoumwa hadi giza lilipoingia japo maumivu na ganzi iko viwango vilevile. Ni kale kakidole kadogo ka mwisho.
 
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu.

Hadi sasa sijajua ni Ng'e, Nyoka, Tandu, au viumbe wengine korofi wasiojulikana.
Nimepiga patrol eneo lote tukio liliponipata sijaona hata kiumbe yoyote niliyemtilia shaka.

Mdau wangu akaniambia atakuwa nng'e, Nikaendea na michakato lkn hadi sasa kiwango cha maumivu na uganzi kiko palepale.

wakuu atakuwa mbabe gani kafanya mambo. Binafsi nimeamua kupotezea maumivu na ganzi yafe kiasili, Je ninaweza kupata athali yoyote?

Msaada wakuu na wakurugenzi mbalimbali,
Umepata wapi nguvu ya kupost walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sangoma wale hawana maana, fix nyingi. Akijitahidi sana anakutupia na tujini tutatu ili uwe mteja wa kudumu.
Kibongobongo itapendeza, ngoja nione asubuhi updates zitakuwaje.
ok sawa basis ili kesho tusipokuona humu nadhani itabidi tuseme RIP
 
wakuu huyu mdudu mwenye maumivu yaliyochanganyikana na ganzi mnisaidie kumng'amua maana kaninyima raha siku nzima sema ubishi tu wa kibongo umesaidia hadi sasa natype.
 
Nahisi hicho kiumbe ni trafiki wale wa kule walogeuka vampire

"ᵀʳʸ ⁿᵒᵗ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ᵇᵘᵗ ʳᵃᵗʰᵉʳ ᵗʳʸ ᵗᵒ ᵇᵉᶜᵒᵐᵉ ᵃ ᵐᵃⁿ ᵒᶠ ᵛᵃˡᵘᵉ✓"
 
Back
Top Bottom