Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,447
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa
ya Makonda.
Yaani nisipo lala na mkeka ata usingizi sipati nitaangaika sana nakuta nawakopa paka voda m pawa niweke mkeka nikiweka nitajipamatumaini kibao kesho napesa yakutosha
Nilijitaidi kwa wiki moja sikubet kabisa nikawaambia watu nimeacha kila mtu alishangaa anaye nijua ila wiki sina furaha kabisa nikaenda siku moja nikaweka mkeka nikala laki 2 nilijiona kama nimekosa pesa nyingi sana nilivyo acha
Nimejenga marafiki wengi wa kubet wakila wanakuja niambia nimekula milion roho itaniuma kwa nini sijabeti