othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,719
- 12,248
Mwishoni mwa mwaka Jana tulishuhudia vyama takribani 10 vikijifungia huko Zanzibar' na kuahidi kuja na mkakati kabambe mwaka huu huku wakiahidi kuwa utakuwa ni mwaka wa demokrasia, kikao kilihudhuriwa na wanasiasa mashuhur akiwemo lowasa, sumaye , maalim seif, mbatia na wengine wengi,
Lkn cha ajabu kimya kimetanda, c lowasa, c mbatia, c sumaye c maalim ambao japo kwa kiasi wangeonesha cheche zao. najua wengine mtasema ni mapema sn niache kiherehere, ukweli ni kwamba hawa watu wana maslahi mapana hawawezi kukinukisha, tegemeo ni lisu tu kwa sasa huyu sio mfanya biashara, hamiliki Mali so hana cha kupoteza.
Tumuunge mkono huko alipo aendelee kuwaeleza ukweli mabeberu kuwa kinachoendelea hapa nchini ni zaidi ya Guantanamo,
Sent using Jamii Forums mobile app