Namtafuta Happyness Minja

Imagine wakati mnaonana mala ya mwisho alikuwa na miaka kumi na mbili mpaka sasa atakuwa na miaka 32 uyo kaisha olewa na familia juu kwahyo mtoe kichwani.
 
Hapana Kaka,tulionana tukiwa teenager,miaka 18 hivi.Hata kama kaolewa haina shida nimjua na shemeji yangu.Kwani alikuwa dada yangu kipenzi kabisa
Imagine wakati mnaonana mala ya mwisho alikuwa na miaka kumi na mbili mpaka sasa atakuwa na miaka 32 uyo kaisha olewa na familia juu kwahyo mtoe kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom