muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Tujadil hili..kumekua na ongezeko la machine za wachina seemu mbalimbali mitaani husasan mjini DSM (cjui mikoan)..machine hizi ni zile za kuweka coin za miambili..tulizoea hizi kua seemu za staree ambapo si rahis kwa watoto kufika lakin ss zimetapakaa Karbu Kila Kona Na wachezaj wakubwa ni watoto chini ya miak18 kinyume Na katakwa ya sheria.je vyombo husika awalioni hili?? Hata Kama Kodi Basi tutazakisha taifa lijalo la wakamaria tuu.tukianza na beting machine,biko,tatu mzuka NK.serikali ilifanyie kazi hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app