Wito kwa chama changu

Wito kwa chama changu

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,463
Mimi Guzman_ mwanachama mtiifu kabisa nasema #Kama chama Ipo haja ya kujitafakari#.
Ni kweli tumeshika nchi kutoka shinani mpaka matawini ila haitupi uhalali wa kuimiliki. Tufanye siasa za maendeleo na siasa isiwe chanzo cha kuharibu undugu wetu. Kama kweli tunaipenda demokrasia ama tunaichukia, ubinadamu ni zaidi ya hayo yote.
Asanteni.
JF nilindieni uzi wangu. Huenda ukawa chachu ya mabadiliko siku za usoni.
 
Wewe ni mwanachama lakini una akili na uelewa kuliko mwenyekiti wako pamoja na genge lake la kihuni
 
Back
Top Bottom