Mada Moto! Mkaa, Uchumi na Mazingira

Snipper

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,046
2,000
Leo kuanzia saa 2.30 usiku katika Ukumbi wa Kissenga Millenium Towers kutakuwa na mdahalo moto ulioandaliwa na Mwananchi Communications na wadau wengine wa Mazingira. Mdahalo huo wa wazi utarushwa moja kwa moja kupitia ITV, Radio One na Mwananchi Online. Waziri wa Mazingira Mh. January Makamba atakuwepo. Pia watakuwepo nguli wa masuala ya Mkaa, Uchumi na Mazingira. Wote mnakaribishwa maana hakuna kiingilio.
1549557574466.jpg
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,520
2,000
Mkaa utoke nao Nyamugombe hadi utoboe nao town ni sawa na umebeba mzigo (wasomali) cjui kwanini...mageti kibao, mara upokonywe na mkaa wenyewe..wao wanataka tutumie gesi
 
Snipper

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,046
2,000
Mkaa utoke nao Nyamugombe hadi utoboe nao town ni sawa na umebeba mzigo (wasomali) cjui kwanini...mageti kibao, mara upokonywe na mkaa wenyewe..wao wanataka tutumie gesi
Ni Kweli kabisa kuna changamoto nyingi, lakini je, kila mtu anaweza kuhimili gharama za kutumia gesi kwa hapa nchini?? Uswahilini naona wananchi wengi wanyonge wanategemea mkaa. Nini kifanyike ili mazingira yaboreshwe??
 
Snipper

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,046
2,000
Mkaa utoke nao Nyamugombe hadi utoboe nao town ni sawa na umebeba mzigo (wasomali) cjui kwanini...mageti kibao, mara upokonywe na mkaa wenyewe..wao wanataka tutumie gesi
Tatizo mageti mengi hayaokoi mazingira maana mpaka muda mtu anafika getini basi miti kule ilishakatwa. Kuna haja ya kuangalia approach ili kupunguza ukataji wa miti kuliko kukaa getini kusubiri mkaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom