Mwanzo Shiza
Member
- May 21, 2018
- 79
- 36
Baada ya anguko faida kwa benki ya CRDB kutoka 70bilioni mwaka 2016 hadi 40bilioni mwaka 2017, benki hiyo kwa mwaka 2018 imeanfika faida ya 104 bilioni kabla ya kodi ikiwa ni ongezeko la zaid ya asilimia 128.
Taarifa kutoka benki hiyo imeonesha kiwango cha mikopo chechefu kimeshuka kutoka 430 bilioni hadi kufikia 281bilion kwa mwaka 2018 sawa na kupungua kwa 34%. Hali kadhalika kiwango cha uwekaji amana kwa wateja kiliongezeka kwa 9.9% kutoka 4.1 trilioni hadi 4.5 trilioni.
*Hii ni dalili nzuri kwamba taasisi za kifedha zinazidi kuimarika hivyo kuwa ni ishara nzuri kwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app