Ninafurahi kuona kuna baadhi ya wabunge wataenda kuwatia hamasa watoto wadogo wanaojua soka U17. Ninafurahi kwa sababu wameacha majimbo yao na wametenga muda kwenda kushangilia.
Wakati kuna...
Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha...
Moja ya mambo yanayoonyesha udhaifu wa hoja ni mtu kushindwa kujibu hoja kwa ushahidi na badala yake kukimbilia matusi, kejeli, mipasho au maneno ya mkato mkato.
Mtu anapoletwa hoja yenye dalili...
Baada ya hoja ya Mdau aliyeandika ~ Mfumo wa TBS unasumbua kutoa gari Bandarini, gharama zinakuwa kubwa na zinaangukia kwa mteja ufafanuzi umetolewa na mamlaka hiyo.
TANGAZO KWA MAWAKALA WA...
Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu...
Hello Singida
Leo ni Manyoni
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📆 30 Mei, 2026.
🕰️ 5:30 Asubuhi.
Lengo la Ziara:
▫️ Kukagua mradi wa maji wa mji 28...
Majanga ya moto shuleni yamekuwa yakiondoka na uhai wa watoto wetu, mfano huko kenya ajali ya moto imeondoka na uhai wa watoto.
Sina uhakika kama mabweni ya shule zetu hapa nchini (binafsi au...
Habarini,
Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April
Katikati ya...
Kwa ufupi sana naomba upitie haya machache ile kuepuka ajari barabarani!
1. Hakikisha unajari mda (Time management)
Kumbuka kinachoua watu wengi katika ajari ni haraka, unaposhindwa kupangilia mda...
Mimi ni mpenzi sana wa magari makubwa na pia ni dereva, mara nyingi nikipita hapa friends corner kushuka unga ltd hapa Arusha naona scania nyingi lakini zimekufa za iliokua kampuni ya Tango kwa...
#UPDATE.
Pvt. Ruhamya Kainerugaba, who is the son of Gen Muhoozi is currently undergoing military training at the prestigious Royal Military Academy Sandhurst in the United Kingdom ,political...
Cc: Waziri Dkt. Gwajima D
Ila Dada mwanzilishi wa neno 'Kipochi Manyoya' ukimaanisha 'Mbunye' wala hujakosea kwa hizi styles zako Kuu Tatu ulizozitaja hapa na Mimi nikiwapata tu wenzako hupenda...
Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa?
Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata...
Kufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye...
Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na...
Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji...
Wakuu habarini za uzima.
Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo.
Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au...