Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msafara wa magari yanayotumia technology ya kisasa isiyohitaji dereva ‘driverless technology’ umeingia katika record ya kitabu cha Guinness. Magari hayo yalisafiri umbali wa maili 2 huko Chongqing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toka serikali imenunua ndege sisi wakazi wa Bukoba tumepata haueni ya usafiri wa anga.Kutokana tuko mbali sana na huduma za msingi za serikali ukiwa na mgonjwa kumpeleka Dar es salaam au Mwanza...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kuna jambo moja linalowasononesha wananachi wa Dar es salam kila siku, ni muda mwingi wanaoupoteza barabarani kutokana na foleni zisizoisha. Foleni zina athari kubwa kwa uchumi wa Dar es...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Nimeambiwa na rafiki yangu mmoja ambaye leo tar 11 Feb. 2018 alikwenda kwa KATIBU TAWALA wilaya mojawapo ya hapa mjini Dar es salaam. Kasema ndani ya masaa 2 aliyoshinda hapo viwanja vya ofisi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati mabasi ya UDA yanaanza kazi Serikali kupitia wakala wake DART Ilisema kuwa wamewapatia UDA kipindi cha miaka miwili kwa MAJARIBIO: Sasa cha ajabu miaka miwili imeisha lakini cha...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mambo vipi waungwana? Nikiwa kidato cha kwanza shule ya sekondori Chidya, almaarufu kama Golani iliyopo mkoani Mtwara. Shule ya wavulana tupu enzi hizo nakumbuka Jumamosi moja nilikuwa siko vizuri...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mmiliki wa kiwanda cha chupi alikuwa na wakati mgumu kugundua kwanini kila mara kuna upungufu wa chupi. Wakati wa kutoka kiwandani kila mfanyakazi alipekuliwa na kila kitu kilikuwa sawa. Taratibu...
56 Reactions
101 Replies
10K Views
Habari kwenu Wakuu wote Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza Mimi si muanzishaji wa thread humu ndani bali nimejijengea tabia ya kuwa msomaji na mchangiaji wa Mada mbalimbali pale inapobidi...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu kuwa mpo vizuri kiafya sabab,kwangu mm afya ndo mtaji wa kwanza kabla ya capital. Kama nilivyo tangulia kusema kwenye kichwa,nina mzigo wa hiliki nauza kwa bei ya jumla na reja...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natarajia kusafiri kwenda Newala, kusudi la safari yangu ni kufika kijiji cha Ngende kutafuta bahati ya kimaisha. Taarifa za awali nilizozipata ni za kutisha sana, na hatari yake ni kubwa sana...
0 Reactions
11 Replies
15K Views
MMILIKI wa Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena ameingia katika kashfa mpya, safari hii akidaiwa kuvamia kiwanja cha mfanyabiashara mwenzake, Alex Msama. Mbali ya kuvamia...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Ningependa kufahamishwa juu ya mishahara ya Watumishi waliosimamishwa kazi na kufungiwa mishahara yao kwa takribani miezi 5-6 na kisha kurejeshwa kazini na kufunguliwa mishahara baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nataka kujua ili swala kwanini vitanda vinatengenezwa kwa urefu wa 6f unabadilika upana tu.,na hata upana umezidi ft6. Kwani haiwezekana kutengeneza 10/10 ? Aaaaah Aaaaah nawasubiri wale...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kipindi kile cha Ulokole kwenye makanisa yetu tulikuwa tunajisifia NA kuulizana "mwenzanu unamiaka mingapi mpka sasa kwenye WOKOVU" Na ilikuwa ni sifa kubwa kushirikishwa kwenye vikao vya wakubwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna tabi ya wadada kukodi bodaboda wasiowajua, na kama tujuavyo wadada huwa ma vimizigo viwili vitatu, sa jana kuna mdada kakodi boda hamjui yule boda akamwambia "dada leta mkoda nikubebee kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Majira ya saa sita mchana aliyekua Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu amefikishwa mahakamani kusubiri kusomewa mashtaka yake Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mh. Polepole anachanja mbuga huko karatu na kupiga kampeni ili wananchi wamchague mbunge wa ccm uchaguzi ujao. Amewaambia wamfuate mzee wao Slaa,ilihali tunajua kua Dr. Slaa hajajiunga na chama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari kwenu wanaJF.. Barabara zetu nyingi za mikoani na Wilayani ni vikaangio vya vitumbua na au Muffin Pan's. Pindi viongozi wa maeneo husika wasikiapo kuna ujio wa maboss wao toka juu basi...
1 Reactions
5 Replies
981 Views
PWANI: FAMILIA ya Hamisi Sabiri na mkewe Zena Mari, wakazi wa Kitongoji cha Mkanzi, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani ipo katika mateso kwa asilimia 100 kufuatia watoto wao watatu waliozaliwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UNAFAHAMU MAANA HALISI YA CLOUDS? . Watu wengi wanafahamu kuhusu 'brand' ya Mawingu ambayo ilianza huko Arusha kupitia shughuli za kupiga disko. Sasa wengine hudhani kwa kuwa ilianza kama Mawingu...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…