Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF Watu wengi waishio Dar au Wanaume wa Dar kila siku wanapoteza nguvu za kiume kufuatana na maswahiba yanayowapata wakati wakitafuta pesa. Tukianza na maisha ya Dar ni magumu sana kiasi...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Hili si tamasha la Fiesta , bali ni vijana wa kitanzania wakisotea usaili wa nafasi chache za ajira kwenye sekta 1 tu ya afya jeshini Je huko kwenye sekta zingine ikiwemo walimu hali ikoje ...
13 Reactions
75 Replies
12K Views
366 Days of Compassion is a one year daily devotional written with original reflections, poems, prayers and motivational quotes on God's compassion for all of us. Each day's reflection is related...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Kamera zinazofungwa maeneo ya Mdaula, Ubena na Bwawani ukitoka Morogoro kuja Dar es salaam, ambazo wataalamu wapo juu wanazifunga ni kwa ajili ya usalama kwa raia na mali zao pindi wawapo...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Heshima yenu wanaJF wakubwa kwa wadogo. WanaJF tusaidiane kuelimisha hawa wakurya ili waachane na ushamba na tabia za kizamani ambazo watu walifanya kwa sababu ya ukosefu wa elimu na uwezo mdogo...
6 Reactions
119 Replies
20K Views
Vijana Tisa Wa mradi Wa LTSP wamefariki dunia jioni hii mjini Ifakara baada ya Gari iliyowabeba kipinduka na kuingia mtoni na wanne wamejeruhiwa,miili na majeruhi wapo hospitali ya rufaa ya...
2 Reactions
134 Replies
27K Views
Habari zenu wana JF Nimekuwa na tatizo la kushindwa kujieleza mbele za watu hasa watu ambao sijawazoea pia inaniwia vigumu kuongea na mtu ambae sijamuzoea. Hili tatizo ninalo toka nijitambue pia...
7 Reactions
124 Replies
22K Views
Yafuatayo ni maelezo ya namna ya kuomba fursa za kimasomo nchini China Maelezo haya yameandaliwa na Watanzania wanaosoma China- kupitia HEOCT (Higher Education Opportunities in China for Tanzania)...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni baada ya mchungaji huko Afrika kusini kudai kumfufua mtu aliyekufa.. Sijui kawa yesu?[emoji23][emoji23] wakati ukuta.
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Yaani TANESCO kila siku mnakata umeme, tena mnarudisha jioni pasipo kutangaza, hasa kwa Wilaya ya Ubungo! Hamuoni mnakosesha Shirika mapato (mnahujumu jamii)? Hapa nagundua mambo fulani: 1...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Taarifa hii imeandikwa na Wakili wanaodai kutetea Haki za Binadamu akina Jebra Kambole kwa nia ya kujipatia kesi kinyume cha taribu za taaluma ya Mawakili na kusambazwa mitandaoni:. "..Ndugu...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
Je, kuna umuhimu wa Serikali duniani kote kuamua kulifanya suala la upimaji wa UKIMWI kuwa suala la lazima! Ni suala ambalo mara kadhaa limekua likileta mjadala mkali kwa wanaoangalia maslahi ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi kuna umuhimu gani wazee kupewa kitambulisho ilhali wenyewe tu wanajitambulisha automatic.... maana hakuna kijana anayeweza kufoji kuwa yeye ni mzee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WATANZANIA TUWE MACHO Jumatatu, 25 Febr, 2019 Nimemsikiliza Dk. Suleiman Kisango Mkurugenzi wa Sera za Uchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania akieleza sababu za kuanguka kwa thamani ya...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Waliondamana kupongeza juhudi za Rais kununua Korosho, waandamane tena Kupongeza juhudi za Rais kuwarudishia wakulima Korosho zao mr mkiki.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nimekuwa nikitafuta document ya itifaki ya nchi yetu katika mtandao bila mafanikio. Ninachopata ni document ya mataifa mengine tu. Kwanini yetu iwe mafichoni? Kama IPO na Kama sio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sababu kubwa za Kanisa Katoliki ni 2: 1. Kumpa Padri/Mtawa nafasi au muda mwingi zaidi wa kufanya kazi za Mungu. 2. Kuitikia mashauri ya Maandiko Matakatifu yanayosifia au kushawishi watu wawe...
24 Reactions
334 Replies
91K Views
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine wamekuwa wakishuhudia wizi mkubwa wanaofanyiwa na chuo hiki huku zaidi ya millioni 700 zikiliwa mbele ya macho yao. Serikali ilianzisha mpango wa...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Watuhumiwa watano wa kesi namba 3/2019 ambao wanashtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi wamefikishwa katika mahakamani ya wilaya ya Dodoma watuhumiwa watano kwa kosa la uhujumu uchumi katika kesi...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
“Nilikuwa na miaka 7 au 8 kipindi hicho. Nilikuwa rafiki wa mchungaji. Siku moja mchungaji akanambia njoo ukae nami tusome pamoja. Kisha tulivyokaa pamoja, mara yakafuata mabusu…kisha yakafuata...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…