mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
Wana JF
Watu wengi waishio Dar au Wanaume wa Dar kila siku wanapoteza nguvu za kiume kufuatana na maswahiba yanayowapata wakati wakitafuta pesa.
Tukianza na maisha ya Dar ni magumu sana kiasi kwamba wengi maisha yamewashida wamejinyenyekeza kwa wakina mama wenye kipato. Mwanaume kwa kawaida halikosa pesa hata jogoo hukaa amelala kila time
Wengi huchukua wasie mtamani hivyo kumfanya afanye tendo la ndoa kiunyonge, hapo mtoa pesa lazima achukie na kuachana naye. Wanaume hawa hawafanyi mapenzi mpaka walewe, kinachowapelekea kuishiwa nguvu ni yale mawazo ya kukosa pia lishe duni.
Mtu akiwa na pesa akiwa baa au hotel uagiza samaki mzima, akiwa home ana pesa anaagiza kibuha. Hapo awezi kumlisha jogoo akasimama vizuri. Wanaume wa vijijini hawana stress na chakula na wake zao wanajua kuwatengea chakula kizuri kinachosababisha kuamsha jogoo akasimama wima kwa hasira.
Wamama wa mjini shida tupu, wao uwaza kuudumiwa kila kitu ukikosa watakacho, utanuniwa siku zote nyumba itakosa amani hata jogoo atanywea siku zote. Ndicho chanzao cha mdororo wa kukosa nguvu za kiume.