Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa ufupi tatizo ni hilo tangu jana hata kupitia mobile banking na mitandao ya Mpeda, Tigopesa etc na maduka ya luku pia shida. Labda wengine ktk baadhi ya maeneo mnapata?
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimemsikia Nape Nnauye wakati anahojiwa na clouds kwenye msiba amesema wakati Clouds imevamiwa aliongea na Ruge na kumuuliza kama ana ujasiri wa kuliongelea suala la kuvamiwa kwa Clouds , aliongea...
10 Reactions
24 Replies
5K Views
Huyu jamaa ni wa ajab sana,nmemvumilia nmeshindwa,..huyu jamaa hiki kipind chake cha kufundisha watu jins ya ku survive kwenye mazingira tofaut am sure kinamuingiza pesa ndefu,ila kwa haya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miaka mitano imepita tangu atoroke akiwa nje ya dhamana Kamran Ahmed raia wa Pakistan ambaye alikamatwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)akisafrisha wanyama hai wenye thamani...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni mwajiriwa serikalini,kipindi TAMISEMI hawajasitisha uhamisho,nilipata mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi yeye ahamie katika halmashauri yangu nami niende halmashaurini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni, Pius Luhende (54) na wenzake, umeomba kuharakishwa upepelezi wa shauri hilo...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba msaada kufahimishwa nahitaji nione ligi ya drc natakiwa niwe na kisambuzi gani wandugu, najua watakuja waelewa Sana na kunitoa akili lkn mjinga hakosei Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
576 Views
KATIKA kuuaga mwili wa Ruge. Naona watu fulani wanajifanya hamnazo wanataka waende wakiwa wamevaa sare za chama kuonesha marehemu alikuwa kada wa chama chao jambo ambalo ni uongo. Ruge alikuwa ni...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu? naomba kuuliza,Bus la mwisho kuondoka ubungo dar kuelekea arusha huwa linaondoka saa ngapi na bus la kampuni gani? Nimeuliza hivyo cos kuna mtu nataka kumsafirisha kesho,ila...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wadau; Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini vyoo vya umma hutenganishwa vya wanaume na wanawake? Kwanini iwe hivyo? Mbona majumbani tuna-share toilets na hamna tatizo? Hii kitu ilikuwepo tangu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ameigiza Baraza la sanaa nchini (BASATA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanamkamata na kumtia hatiani msanii...
15 Reactions
386 Replies
58K Views
Katika hali isiyokuwa inatarajiwa ushuru wa soko umerejeshwa bila kujali kiwango cha mazao/mizingo inayoletwa masokoni. Kutokana na tamko la Rais kuwa wakulima ambao wataingiza sokoni mazao yao...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Ni ujinga ulioje kumlaumu Ruge(Clouds Media Group) kwani ni dhahiri kuwa kamwe cha kuazima hakistiri makalio ! Ni jambo lililo wazi kabisa kwamba kiu ya wasanii wengi hususan wachanga ni kusikika...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
We mwanadamu jaribu kujiuliza Ungekuwa Mungu ni nani ungemsiikiza? Polisi wa doria au kibaka ndani ya giza? Je ni nani angepokea miujiza? Mlevi wa gongo au mama anayeuza? Yote tisa ungemponya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Waziri wa.uchukuzi wa nchini Misri. Ishar Afra, amejiuzulu uwaziri wake baada ya kutokea ajali ya treni iliyoua wananchi 24 hapo jana Katika sababu...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ,dkt Maulid Madeni amemtimua mkuu wa Soko kuu la Arusha,Yusuf Ngenya kwa kushindwa kufikia malengo ya makusanya ya ushuru na kodi katika Soko hilo. Aidha Dkt Madeni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatati ====== Askari wa Zima Moto wakiendelea na kazi ya Askari wa Zima Moto wakiendelea na kazi ya kuzima moto uliokuwa ukiwaka kwenye ghala la Kiwanda cha viatu Bora, jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Habari wana Jamii. Kuna mtoto wakiume hapa mtaani ana umri Wa miaka 10. Ana hali ya Ushoga, nilianza kumuona miaka mitano 5. Michezo yake yote anakuwa na Watoto Kike. Sasa hivi ameanzwa kutengwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina uhakika ameshawakariri na hawezi kuwaacheni hivi hivi na lazima kuna ' Dozi ' yenu atawapeni kwani Mwenzenu hakudhani kama ' aliyeondoka ' anakubalika hivi na atasifiwa hivi japo hana Mamlaka...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Wana JF, nilishangaa sana siku nilipoenda nchi fulani jirani nilipotaka kubadilisha fedha, nilibadilishiwa kwa kiwango kile kile bila kujali nilikuwa nabadili noti za $1, $5, $10, $20, $50 au...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…