Tufikie hapa kama Taifa

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
1,673
2,000
KATIKA kuuaga mwili wa Ruge. Naona watu fulani wanajifanya hamnazo wanataka waende wakiwa wamevaa sare za chama kuonesha marehemu alikuwa kada wa chama chao jambo ambalo ni uongo. Ruge alikuwa ni opportunist anayejua mtawala yupi aimbiwe wimbo gani ili atikise kichwa na miguu!

Kama ni hivyo na CCM tusibaki nyuma. Tupige kijani na nyeusi. UVCCM msibaki nyuma. Chadema na nyie vaeni gwanda na pundamilia. CUF na ACT msibaki nyuma. Pigeni jezi maana Ruge alikuwa ni rafiki wa kila kada!

Wanajeshi, Polisi, Madaktari, Manesi, Mgambo, Wanafunzi wa Shule za Sekondari vaeni sare zenu ili sote tuwe na hakimiliki ya msiba tusiwaachie CHADEMA ooo samahani tusiwaachie CCM . Kila jezi inapendeza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,287
2,000
Siwashauri cdm kuhudhuria huo msiba ambao tayari ccm wamejimilikisha. Watoe muwakilishi na huyo mwakilishi huko msibani asikae viti vya mbele.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,287
2,000
Jamani misiba haina vyama!

Narudia tena, cdm watoe mwakilishi, na akifika asikae viti vya mbele, iwapo ataitwa kutoa salamu ni sawa, kama hataitwa poa tu. Huo msiba unageuzwa kuwa sehemu ya kunenepeshea mbuzi mnadani. Mimi sio muumini wa unafiki.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,056

Kwa sababu unafanyikia mtaa wa KWA MBOWE ndio unauhusisha na siasa?!

Bwashee acha hizo!
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,645
2,000
KATIKA kuuaga mwili wa Ruge. Naona watu fulani wanajifanya hamnazo wanataka waende wakiwa wamevaa sare za chama kuonesha marehemu alikuwa kada wa chama chao jambo ambalo ni uongo. Ruge alikuwa ni opportunist anayejua mtawala yupi aimbiwe wimbo gani ili atikise kichwa na miguu!

Kama ni hivyo na CCM tusibaki nyuma. Tupige kijani na nyeusi. UVCCM msibaki nyuma. Chadema na nyie vaeni gwanda na pundamilia. CUF na ACT msibaki nyuma. Pigeni jezi maana Ruge alikuwa ni rafiki wa kila kada!

Wanajeshi, Polisi, Madaktari, Manesi, Mgambo, Wanafunzi wa Shule za Sekondari vaeni sare zenu ili sote tuwe na hakimiliki ya msiba tusiwaachie CHADEMA ooo samahani tusiwaachie CCM . Kila jezi inapendeza!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho wenyenchi watajaa eapoti ni kijani tu wengine watazuiwa na huenda wakasukumwa ndani. Kumbuka bosi mkuu atakuwepo na tulipofikia sasa ni mgawanyo kama tulivyojimilikisha msiba wa watoto Arusha kiasi wengine wakasukumwa ndani.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,287
2,000
Kwa sababu unafanyikia mtaa wa KWA MBOWE ndio unauhusisha na siasa?!

Bwashee acha hizo!

Mnafiki namba moja alipojifanya tu ana utu akawafungulia na Makada wenzake kugeuza huo msiba ni wa chama. Sasa wote wako mbele mbele kujionyesha wana utu kumbe hawana lolote ni mabaradhuli tu. Narudia tena cdm hakuna kutafuta kick kwenye huo msiba, wakae mbali wawachore tu wanafikuna.
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,000
2,000
Msiba ushageuzwa uwanja wa siasa, CCM hatari

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,056
2,000
Mnafiki namba moja alipojifanya tu ana utu akawafungulia na Makada wenzake kugeuza huo msiba ni wa chama. Sasa wote wako mbele mbele kujionyesha wana utu kumbe hawana lolote ni mabaradhuli tu. Narudia tena cdm hakuna kutafuta kick kwenye huo msiba, wakae mbali wawachore tu wanafikuna.
Umechelewa Lowassa, Sumaye na mchungaji Msigwa wapo msibani!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,287
2,000
Umechelewa Lowassa, Sumaye na mchungaji Msigwa wapo msibani!

Pole, Lowassa na Sumaye sio wanacdm bali ni wanaccm waliokosa nafasi huko ccm wakaenda cdm kusaka nafasi ya kupata madaraka. Msigwa nadhani atakuwa ameona ushauri wangu wa kutokukakaa viti vya mbele na kutaka kujionyesha.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,056
2,000
Pole, Lowassa na Sumaye sio wanacdm bali ni wanaccm waliokosa nafasi huko ccm wakaenda cdm kusaka nafasi ya kupata madaraka. Msigwa nadhani atakuwa ameona ushauri wangu wa kutokukakaa viti vya mbele na kutaka kujionyesha.
Mchungaji Msigwa alikaa mbele kabisa na kila wakati alikuwa anamuita Ngoma ili ahojiwe hatimaye alifanikiwa akauza nyago!

Maendeleo hayana vyama!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,287
2,000
Mchungaji Msigwa alikaa mbele kabisa na kila wakati alikuwa anamuita Ngoma ili ahojiwe hatimaye alifanikiwa akauza nyago!

Maendeleo hayana vyama!

Hiyo ni haki yake, tena abebe panga kabisa akiona hahojiwi ili aonekane, aanzishe vurugu hapo msibani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom