Sababu za Kutenganisha Vyoo vya Kike na Kiume

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,424
2,000
Wadau;

Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini vyoo vya umma hutenganishwa vya wanaume na wanawake? Kwanini iwe hivyo? Mbona majumbani tuna-share toilets na hamna tatizo? Hii kitu ilikuwepo tangu mwanzo? Kama sio tangu mwanzo lilianza lini na wapi?

Kimsingi, sio zamani sana, hakukuwa na kutenganisha vyoo vya kike na kiume. Walikuwa wana-share. Desturi ya kutenganisha ilianza miaka ya 1700 huko Paris - Ufaransa ambapo baadaye ilienea katika mataifa mengine. Kwa mfano, Marekani kwenye miaka ya 1800 ndipo ilipopitisha utaratibu wa kutenganisha vyoo vya kike na kiume.

Baada ya mapinduzi ya viwanda, mfumo wa maisha ulibadilika ambapo uzalishaji ulibadilika kutoka wa majumbani na kwenda wa viwandani ambapo watu wengi walikusanyika kwa pamoja hivyo kupelekea hitaji la vyoo kwa jinsi tofauti.

Ila jamaa walikosea sana aiseeee! Maana hata dini hazijazungmzia kutenganisha vyoo badala yake ni mawazo tu ya kibinadamu.
 
Mushi92

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,909
2,000
Mwanamke anatoka ndani bado anajitengeneza mara inakutana nae..... Hii sio poa.
Sehemu nyingine milango haifungi vizuri....unasukuma mlango.....unakutana nae....inakuwa sio poa

Wanaume tunakujoa hovyo hovyo sana .....mara nyingi tunakujoa juu....tutawasumbua kukanyaga mikojo mara kwa mara....
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599
2,000
Kivipi Mkuu? Kumbuka utaratibu huu ulianza miaka ya 1700; maelfu ya miaka kabla tangu enzi za mitume walichangamana vizuri tu maana hata biashara zilikuwepo kama kawaida; majumba ya kulala wageni kama kawaida n.k. Au wehu walianza hivi karibuni?
Hata miaka ya wahenga tulikua tunatembea uchi tu,pumbu zikiruka ruka hadharani/nyonyo nje nje so nadhani ni muda muafaka sasa turudi kutembea uchi.
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,424
2,000
Hata miaka ya wahenga tulikua tunatembea uchi tu,pumbu zikiruka ruka hadharani/nyonyo nje nje so nadhani ni muda muafaka sasa turudi kutembea uchi.
Duh! Unazungumzia zamani sana Mkuu! Mimi nazungumzia zama za kati hapa; wewe upo enzi za wahenga wakifanana na sokwe.
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,340
2,000
Wadau;

Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini vyoo vya umma hutenganishwa vya wanaume na wanawake? Kwanini iwe hivyo? Mbona majumbani tuna-share toilets na hamna tatizo? Hii kitu ilikuwepo tangu mwanzo? Kama sio tangu mwanzo lilianza lini na wapi?

Kimsingi, sio zamani sana, hakukuwa na kutenganisha vyoo vya kike na kiume. Walikuwa wana-share. Desturi ya kutenganisha ilianza miaka ya 1700 huko Paris - Ufaransa ambapo baadaye ilienea katika mataifa mengine. Kwa mfano, Marekani kwenye miaka ya 1800 ndipo ilipopitisha utaratibu wa kutenganisha vyoo vya kike na kiume.

Baada ya mapinduzi ya viwanda, mfumo wa maisha ulibadilika ambapo uzalishaji ulibadilika kutoka wa majumbani na kwenda wa viwandani ambapo watu wengi walikusanyika kwa pamoja hivyo kupelekea hitaji la vyoo kwa jinsi tofauti.

Ila jamaa walikosea sana aiseeee! Maana hata dini hazijazungmzia kutenganisha vyoo badala yake ni mawazo tu ya kibinadamu.

Kuna mtaalamu mmoja wa mambo ya biogas alisema unaweza kuzalisha biogas kutoka kwenye choo cha kiume na huwezi kupata matokeo mazuri ya product hiyo kutoka choo cha kike
 
kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,333
2,000
Hivi kwanini kuna mijitu yani wao wanajifanya wanajua kila kitu eti mtoa post kasema sababu ya utenganishaji wa vyoo na ndo sahihi lakini jitu linakuja na sababu zake kama KILAZA

hayo tu
 
Mpyena

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
783
1,000
Navuta picha mara unazama toilet unamkuta ma mkwe kwa bahati mbaya hakufunga vizuri mlango, kwa vile macho hayana pazia unafanikiwa kuziona sehemu special kabisa zilizomleta mkeo duniani.Mleta uzi ndo unataka tungekua tunakutana na situation kama hizo!?
 
dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,772
2,000
Hata hijja kule makkah hawatenganiahwi wote wanakua pamoja wanawake na wanaume . Kutenganishwa ni huku mitaani tu ila kule mji mtukufu wote pamoja siku zote
Wadau;

Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini vyoo vya umma hutenganishwa vya wanaume na wanawake? Kwanini iwe hivyo? Mbona majumbani tuna-share toilets na hamna tatizo? Hii kitu ilikuwepo tangu mwanzo? Kama sio tangu mwanzo lilianza lini na wapi?

Kimsingi, sio zamani sana, hakukuwa na kutenganisha vyoo vya kike na kiume. Walikuwa wana-share. Desturi ya kutenganisha ilianza miaka ya 1700 huko Paris - Ufaransa ambapo baadaye ilienea katika mataifa mengine. Kwa mfano, Marekani kwenye miaka ya 1800 ndipo ilipopitisha utaratibu wa kutenganisha vyoo vya kike na kiume.

Baada ya mapinduzi ya viwanda, mfumo wa maisha ulibadilika ambapo uzalishaji ulibadilika kutoka wa majumbani na kwenda wa viwandani ambapo watu wengi walikusanyika kwa pamoja hivyo kupelekea hitaji la vyoo kwa jinsi tofauti.

Ila jamaa walikosea sana aiseeee! Maana hata dini hazijazungmzia kutenganisha vyoo badala yake ni mawazo tu ya kibinadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom