Hali tata ya Ushoga

mnang'umba

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
445
225
Habari wana Jamii.
Kuna mtoto wakiume hapa mtaani ana umri Wa miaka 10. Ana hali ya Ushoga, nilianza kumuona miaka mitano 5. Michezo yake yote anakuwa na Watoto Kike.
Sasa hivi ameanzwa kutengwa na Watu, sababu ya halo alionayo. Shule aliokuwa anasoma, Ameambiwa atafute shule nyingine. Alikuwa anasoma shule binafsi.
Sasa huyu mtoto ataishije?
Yeye mwenyewe hajuwi kama ni shoga
Naomba maoni yenu ili nimfikishie mzazi Wa huyo Mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,163
2,000
Wewe utakuwa ndo mzazi wake.
Ivi wazazi wake wasijue mwanao kafukuzwa shule kwa kosa lipi?
Yaani wamwangalie tu kafukuzwa shule wasifatilie chanzo.
Kama ni hivyo wazazi wake watakuwa wanajua tatizo hilo.
 

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,937
2,000
Mimi nilifikiri huyo mtoto ni shoga kumbe ana hali ya ushoga, basi sawa waambie wazazi wa huyo mtoto akikua ataacha
 

Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,860
2,000
Mbona huyo mtoto kama anakuhusu wewe,ni kama wako vile,.na ina maana ni completely shogaa??...anyway kumtenga sio suluhu na wala haitamfanya abadilike sanasana mtazidi kumpoteza tuu...

Mtengenezeeni mazingira ya kujitambua mapema na kumuonya kwa upole kupitia misingi ya imani yenu,.mengine wataalam wa mambo watasema..

Poleni sana.
 

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,510
2,000
Hali ya ushoga ndio ipi kwanza? Mwanaume kuwa na tabia za kike kama , kuvaa hereni, kusuka nywele huwezi kumwita shoga.

Shoga lazima awe anafanywa!!! Je huyo mtoto yuko hivyo? Kama sivyo basi ana tabia za kike sio shoga!!!! Pia huenda anajinia mbili mmemchunguza vizuri!!! Kama ana matiti na mengine mengine ya kike apelekwe shule za kike au aende USA kuna sheria inatambua Transgender MTU
Ambaye Si mwanaume au mwanamke kule kwa Trump wanayo mpaka vyoo vyao wanatambulika na jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom