Mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam na baadhi ya maeneo mengine nchini Tanzania, je athari ya mvua na hali kiujumla ikoje hapo ulipo?
Tushirikiane kutoa taarifa kupitia thread hii...
AMON MTEGA, SONGEA
MTOTO Shazira Yahaya aliyeibiwa akiwa na siku saba katika Kijiji cha Likalangiro Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, amepatikana katika Kijiji cha Kokirie Wilaya ya MoshiVijijini...
Hii njia ni tamu ukisafiri kwa njia ya gari au hata basi, njiani hukosi chochote cha kusisimua kutokana na mazingira, watu wake na viswahili vyao, hali ya hewa na kadhalika
Ukisafiri kwa usafiri...
Wana bodi na wakatolili wote pia waumini wote wa kanisa katoliki la Roma, maumini mwenzetu Julius Nyerere bado hajatangazwa ni mwenye heri, tuwasaidie wenzetu upande wa pili utaratibu wa mtu...
Leo ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya viumbe hai wa porini na majini ambayo huadhimishwa kila mwaka mnamo Machi 3 ili kueneza uelewa wa mimea na wanyama mwituni
Mwaka huu, siku hii imefanywa...
Habari wana JF
Naleta mbele yenu suala hili naamini linaweza kufika panapohusika na likafanyiwa kazi mara moja, kumekuwa na unyanyasaji mkubwa sana wa wananchi wamiliki/madereva wa magari Arusha...
Einstein alikuwa kwenye kundi la watu ambao imani yao huitwa Pantheism kwa Kiingereza.
Ni watu wanaoamini kwamba "Mungu ni kila kitu".
Mara kadha, alionyesha mtazamo huu kwenye mawasiliano yake na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameonya kuwa hatamvumilia kiongozi yeyote wa Mkoa, Wilaya ama Halmashauri ya Wilaya, Mji, Manispaa na Jiji atakayebainika kuhusika...
Huwezi kulala mtupu usiku kucha hata kama upo na familia au laa.
Usiku linaweza kutokea lolote mfano nyumba kuungua, kuvamiwa na majambazi , majirani kupata shida ya haraka, mtoto / watoto kuumwa...
Wanabodi,
Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo.
Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa...
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga...
Tukirejelea maana za maneno hayo;
Assets:- an item of property owned by a person or company, regarded as having value and available to meet debts, commitments, or legacies.
Liability:- a thing...
Wakuu poleni na kazi.
Naombeni ushauri kuhusu MCHAKATO,GHARAMA & UHAKIKA wa aidha kuagiza gari ndogo nje ya nchi (Japan) na kununulia kwenye show room hapa nchini Tanzania.Hasa gharama, mchakato...
Hata kama ikitokea huyu Mwizi wangu nikampata / nikamkata wala sitomfanya lolote / chochote bali nitamshika tu mkono na kumpeleka Shule au Chuo akasome kwani kwa jinsi alivyoniibia Redio yangu...
Wakili maarufu Maro Advocaat amekuwa anatumia umaarufu wake kutapeli wajane,Maro alishiriki kutapeli nyumba ya marehemu Yese aliyekuwa mchimbaji maarufu wa madini ya Tanzanite,nyumba hiyo...
Rais Magufuli atoa ndege kusafirisha mwili wa Ruge.
Msemaji wa familia ya Mutahaba amesema Rais Magufuli ametoa ndege hiyo kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Ruge kutoka Dar es Salaam kwenda...
Wakuu,
Nchi yetu inahitaji kupata watalii wa kutosha kwa ajili ya kuinua uchumi wetu ambapo tunahitaji forex sana hasa kipindi hiki ambapo shilling yetu inayumba.
Kuna wageni wameandika kwenye...
Kuna huu utamaduni uliojengeka wa wahusika kutoshughulika na ukarabati wowote hasa wa barabara hadi viongozi wa kitaifa wanapofanya ziara.
Nimekuwa katika maeneo tofauti siku za karibuni ambako...
Heri ya mwaka wa 2019 wanabodi
Naomba Uzi huu tuujadili kwa kuzingatia kuwa mnasaidia MTU ni muhimu sana .
Jini mahaba linanisumbua sana, limesumbua ndoa yangu mpaka kutengana , limeharibu maisha...