Viungo tunavyokatwa mahospitalini vinapelekwa wapi?

Viungo tunavyokatwa mahospitalini vinapelekwa wapi?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Wakubwa shikamoni
Nilikuwa nina kiswali ninanisumbua sana nilikuwa nauliza Je vile viungo wanavyokatwa wagonjwa hospitalini kama mguu,mkono na vinginevyo huwa vinapelekwa wapi?
 
Kwani mwili ukiisha kazi a.k.a ukipoteza uhai wafanywa nini?

Alafu hiyo Avatar yako Mtu aweza dhani ni Max ameuliza.
 
Huko umeenda mbali sana ungejiuliza kwanza siku una pata jando (kama umepata) kile kinyama hua kinapelekwa wapi
Wakubwa shikamoni
Nilikuwa nina kiswali ninanisumbua sana nilikuwa nauliza Je vile viungo wanavyokatwa wagonjwa hospitalini kama mguu,mkono na vinginevyo huwa vinapelekwa wapi?
 
Vinachomwa kwenye matanuru ya kuchomea "incinerators"
 
max gani uyu kajoin juzi tyu max tumjuaye ni wa 2006 join
Kwani mwili ukiisha kazi a.k.a ukipoteza uhai wafanywa nini?

Alafu hiyo Avatar yako Mtu aweza dhani ni Max ameuliza.
yu
 
Wakubwa shikamoni
Nilikuwa nina kiswali ninanisumbua sana nilikuwa nauliza Je vile viungo wanavyokatwa wagonjwa hospitalini kama mguu,mkono na vinginevyo huwa vinapelekwa wapi?
Siku ukihitaji kujua yanakopelekwa magovi ya wanaotahiriwa bure kwa promotion ni Pm nikuelekeze ila usipende sana kula sausage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida viungo vinavyokatwa kwenye mwili wa binadamu hufuata taratibu zile zile za kutupa kile kisichohitajika kwa kutumia utaratibu uliowekwa na hospitali husika. Hadhi ya hospitali ndio inayotoa mwelekeo wa hatma ya kiungo kilichokatwa, Kama hospitali ina chuo cha madaktari, viungo huhifadhiwa katika mchanganyiko wa madawa yanayozuia kuharibika/kuoza kwa viungo na kutumika kufundishia kwenye masomo kama Anatomy, Cytology,Histology na Pathology. Vile visivyohitajika, kama vinaweza kuugua huchomwa, vile vinavyoweza kuharibiwa kwa tindikali huwekwa humo lakini pia kuna utaratibu wa kuzika kama ilivyo kawaida.

Angalizo> Kabla ya kiungo kilichokatwa kutumika, hutanguliwa na makubaliano kati ya mtoa kiungo na taasisi, yanayoonyesha bayana idhini ya mtoa kiungo kuhusu matumizi ya kiungo chake.
 
Back
Top Bottom