Ujenzi Hospitali ya Simanjiro waendelea

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Serikali Wilayani Simanjiro imesema, hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Simanjiro ni nzuri.

Mhandisi Zephania CHAULA ameyasema hayo jana kuwa msingi umechimbwa, mawe na mchanga viki eneo la mradi kwa gharama za wananchi.

Amesema kwa upande wa Serikali hizo ni hatua njema ambazo zinatija na mafanikio ya ujenzi wa hospitali hiyo.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190310-WA0060.jpg
    IMG-20190310-WA0060.jpg
    93.3 KB · Views: 17
  • IMG-20190311-WA0109.jpg
    IMG-20190311-WA0109.jpg
    50.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom