Miezi iliyopita mlitueleza kuwa kutakuwa na mvua mikoa ya Dar, Morogoro na mikoa ya Kanda ya Ziwa na kutakuwa na mvua mwisho wa Februari na mwezi wa tatu. Mpaka sasa hasa kanda ya ziwa kuna ukame unaondelea. Ninauliza ile taarifa yenu mbona hatupati mrejesho tena?.