Waziri Kangi LugoLa iingilia kati hii haikubaliki ktk macho ya Sheria

Mh. Waziri wa Mambo ya ndani tukio liloambatishwa na taarifa hii halifai asilani mbele ya macho ya Sheria. Kwa heshima na unyenyekevu unaombwa sana ku- intervene jambo hili na kuhakikisha hatua za kinidhamu na kisheria zinachukuliwa dhidi ya Askari Polisi wakatiri hawaView attachment 1047545

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wa nchi hii wanalindwa sana na serikali. Wanajiona wao ndio kila kitu. Na hili litapita bila ya kuchukuliwa hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom