Je hii ni kweli au ni Uzushi tu kuwa TATU MZUKA wametoroka Tanzania kwani kuna Mtu anataka Kujitoa Uhai wake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,252
110,837
Kuna Tetesi zinaendelea kwamba Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya TATU MZUKA haipo tena na Watendaji wake wametoroka hali ambayo binafsi kuna Mwana Mama Mmoja jirani yangu kabisa alishinda ile Zawadi ya kupewa Tsh 500,000/= kila Mwezi kwa muda wa Mwaka Mmoja ila amepewa tu hiyo Hela mara moja na sasa Mama wa Watu anasubiri Hela yake ya Mwezi wa pili haioni na akipiga Simu hazipokelewi huku akiwa ameshakopa na kupatwa na Majukumu mengine hali ambayo sasa imemchanganya na anataka Kujiua.

Ukweli hapa ni upi kwa TATU MZUKA?

Nawasilisha.
 
Hapo aridhike tu mchezo umekufa kwani vile vyanzo vya kupata hizo pesa kutoka kwa TV Mh Adamjee alikomelea pale Ikulu.
Hauwezi kutoa laki 5 kila mwezi wakati watu wanaocheza hawafikishi jumla elfu 50
Alipata kwa bahati na ajue vinaondoka km vilivyokuja
tuliwaonya watu huwezi kulipwa ila mwezi mwaka mzima, je Kampuni likianguka?
akubali matokeo
 
Wamiliki wa tatu mzuka ni kampuni ya prime time promotion na mtendaji mkuu wa tatu mzuka ni Sebastian maganga ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa vipindi CMG
SI KWELI wao CMG walipewa biashara tu waifanye km Star tv na redio nyingine kibao tu na % wanakatiwa mf TABIBU TV huku kwetu TATU MZUKA/TABIBU TV
na zote zipo chini ya mfanyabiashara 'The Network Ltd ya kimataifa yenye kutumia majina mengi kwenye bahati nasibu hiyi (Lottery)
Tatumzuka
 
Mbona jamaa wpo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatumzuka kweli Tatu Mzuka wapo lakini hakuna mchezaji anayedheza ndio maana washindi HAKUNA
CLICK HAPO Tatumzuka
hakuna mshindi mpaka sasa
Matokeo Yaliyopita
Droo inayofuata ni ya 19:50:00 - dakika 5 zijazo. Wiki iliyopita mshindi mmoja alibahatika kushinda Tzs0 kwenye saa hii! Nunua tiketi yako sasa!

Utambulisho wa Droo Muda na Tarehe Namba Za Ushindi Washindi 49374Fri 15th Mar 2019 - 19:30:00129Tazama Washindi Wote49373Fri 15th Mar 2019 - 19:20:00263Tazama Washindi Wote49372Fri 15th Mar 2019 - 19:10:00853Tazama Washindi Wote49371Fri 15th Mar 2019 - 19:00:00771Tazama Washindi Wote
 
Kwani ukisema ni wewe na kwamba umekopa kwani itakudhuru nini kuliko kusingizia mama wa watu??

Njoo na povu kama kawaida yako we Mnyarwanda
 
Hayo makampuni yalitegemea sana media katika kuwapiga "MAZWAZWA" Mshiko wao,baada ya kupigwa BAN matangazo redioni na kwenye TV,Mazwazwa yakapungua hivyo BIKO/TATU mzuka wakaanza kufulia.
 
SI KWELI wao CMG walipewa biashara tu waifanye km Star tv na redio nyingine kibao tu na % wanakatiwa mf TABIBU TV huku kwetu TATU MZUKA/TABIBU TV
na zote zipo chini ya mfanyabiashara 'The Network Ltd ya kimataifa yenye kutumia majina mengi kwenye bahati nasibu hiyi (Lottery)
Tatumzuka
Sasa mkuu mbona watendaji wote wa tatu mzuka wanatoka CMG (wanaoonekana) kuanzia khemi mutahaba na Sebastian maganga? Au ndiyo wewe nini😂😂😂
 
Back
Top Bottom