Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,202
Umofia!
Leo nilikuwa bored nikaamua search kwenye king'amuzi channel nadra kuziangalia si nikaweka TBC2 kwa kweli nilichokutana nacho ni cha ajabu sana!.
Imagine mpaka leo hii mwezi March tukielekea April eti bado wanarusha matangazo ya Christmass Wishes!. Hivi kweli Televisheni ya Taifa kurusha matangazo ambayo yalitakiwa kumalizika miezi miwili nyuma ni sahihi!?
Kama mmekosa mada si heri mtangaze tenda vyama vya siasa vilete vipindi vyao mrushe kuliko hiki mnachofanya kinachopelekea channel yenu ipoteze viewers, au kama vipi rusheni vipindi vilivyopita vya bunge ili tuliovikosa tuangalie mkishindwa ni heri muifunge tu hiyo TBC2 sababu toka nimeanza kuiangalia sioni la maana nyimbo zenyewe mnazopiga low quality kama mmedownload kwa 3gp format!
Sio mpaka Mh. Raisi aingilie kati kuja waboost, naamini mna watu wenye weledi wa kazi, acheni kufanya kazi kimazoea wakati ideas ni nyingi sana mtaani mtakazo weza zipeleka on air!
Mkishindwa sana nitafuteni hata mie niwashow gamechanger tactics!
#KodiYanguInaniuma!..