Kwa kifupi msafara wa kupokea body ya Ruge utaanzia pale Air port utapita Vingunguti, Tazara hadi Buguruni kisha Amana hadi ofisi ya mkuu wa mkoa then Magomeni, Tandale, Sinza, Ipp hadi Clouds...
Inawezekana nitakachokijadili hapa kikaonekana kama uhalisia mazingaombwe lakini napenda kuweka wazi kuwa sivyo ila ni uhalisia kwa sababu ni jambo ambalo tunakifanya mara kwa mara na inaezekana...
Miaka 3 sasa katika matokeao ya form 4 na F6 yamekua si mazuri sana kama shule za Binafsi.Sijajua serikali ama walimu na wanafunzi wa serikali wanakosea wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi tayari
Enewei ngoja nitie neno,hawa jamaa sijui huu utaratibu umeanza lini.
Niko mitaa ya nyumbani kabisa,nalipishwa parking,huku Mbezi hii tabia haikuwepo kabisa.
Naona Serikali sasa kila...
Naombeni kujua kuhusu hiki..
Nilikua napitapita mtandaoni mara nikaona habari juu ya kubadili mchoro wa design ya flyover ya ubungo kutoka iliyokuwepo(the most beautiful one) na kuweka nyingine...
Habarini za mida wana JF.
Hivi ulishawahi ku note hiki kitu hasa kwa wanaume, ulishawahi kuwa unapita maybe kwenye njia fulani halafu uko na wenzio au kuna watu wanakuja either mbele yako au nyuma...
Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena
Tuesday, March 23, 2010 1:52 AM
Mwanamke wa nchini Uingereza ambaye alishawahi kufikishwa mahakamani kutokana na makelele...
Kwa waliowahi kupata au walio na changamoto hii ya maisha tupeana maujanja au mbinu za kumwezesha mtu arudi katika hali ya kawaida kimapato. Waliowahi patwa na hii hali watakubaliana na mimi kuwa...
Mtwara
Lindi
Tanga
Kigoma
Kilimanjaro-upareni.
Mikoa yote ya Zanzibar
Tabora
Morogoro
Pwani
Dodoma-kondoa
NB: ustarabu kote upo ila hiyo mikoa level yao iko juu sana
Sent using Jamii Forums...
Huyu kasisi aliniacha hoi kwenye mahubiri yake kwenye kanisa moja katika parokia moja pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam jumapili iliyopita. Katika mahubiri hayo alikumbushia mambo matatu ya...
Wanawake watakiwa kujitokeza kishiriki katika Sekta ya Uziduaji.
Wadau wakutana kujadili nafasi ya mwanamke kwenye sekta binafsi na Uziduaji katika adhimisho la miaka 8 ya Jukwaa la canada...
To celebrate the Francophonie and its values, the Embassy of Switzerland is pleased to offer a platform to discuss the challenges of the modern information society for human rights, with the...
Mwendokasi imeshathibitisha kushindwa katika awamu za mwanzo ukiangalia usafiri wa shida wanaopata Kimara. Japo hapa siasa zitaletwa kutetea hoja, lakini ukweli ndio huo. Nashangaa jitihada...
Habari za muda huu?
Ninahitaji msaada wa number za huduma kwa wateja wa hizi kampuni mbili tigo maana ile number yao ya 100 siwezi kuongea nao wananiwekea sauti zilizorekodiwa ikifika mwisho...
Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemuagiza Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani kuwakamata Askari walioonekana wakimtukana na kumpiga vibao dereva mmoja kwenye gari la mizigo...
Mama Angelina Mabula ukimkosa kwenye vyombo vya habari basi hiyo siku haipo.
Leo yupo magazeti at least mawili, kama ilivokuwa jana au juzi.
Mama Mabula anatoka kanda ya Ziwa na maeneo yake ya...
Me too movement ni mkombozi wa mwanamke hata mwanaume .Kama umebakwa au professor au boss wako wa sasa au wa zamani ashawahi kukupatia kazi au mitihani na kuku.please go # me too Ethiopia .A lot...
Pata picha ni muda wa usiku kuna sehemu unaenda kuna shida muhimu sana[ mida kama ya saa sita usiku] ili uweze kwenda huko ni lazima ukodi boda boda ya kukupeleka, basi unaenda mpaka kituo cha...
Salam wanajanvi, Naomba tusaidiane uelewa na kushare maarifa juu ya hawa watu ambao naamini wengine sio Masai,wanazunguka katika miji mingi wakiwa na mifuko imejaa dawa na nyigine wakiwa wamebeba...