Kwa hili shule za serikali hazitakuwepo top 10 tena.

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,824
11,023
Miaka 3 sasa katika matokeao ya form 4 na F6 yamekua si mazuri sana kama shule za Binafsi.Sijajua serikali ama walimu na wanafunzi wa serikali wanakosea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni takataka kabisaa.

Hata kuangalizia mnashindwa?!?! Nenda pale Kaizirege uliza wanafanyaje.

Bila wastani wa 75 haupandi darasa afu nyie mnapandisha kwa wastani wa 20 na mnategemea kuingia top10?!?!

Hiyo sio elimu, ni biashara. Ni sawa na hospitali iseme wagonjwa mahututi haipokei ila wale ambao wanawaza kutembea wenyewe na ambao wanaweza kurudi nyumbani. Hiyo haitakua hospitali
 
Nyie ni takataka kabisaa.

Hata kuangalizia mnashindwa?!?! Nenda pale Kaizirege uliza wanafanyaje.

Bila wastani wa 75 haupandi darasa afu nyie mnapandisha kwa wastani wa 20 na mnategemea kuingia top10?!?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabora Boys na girls,Kilakala,Ilboru,Kibaha,Mzumbe hua wana Wastani,sasa nao hawaingii top 10?miaka ya nyuma mbona walionekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitamke jambo kama huna takwimu sahihi. Matokeo ya kidato cha sita mwaka Jana, 2018, Shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya serikali, na katika shule kumii bora, za serikali zilikuwa shule 3. Hata hivyo Malengo ya Maendeleo endelevu ni kutoa Elimu bora kwa wote, hivyo serikali haishindani na shule binafsi Bali inapambana na adui ujinga kwa kutoa elimu bora kwa wote. Elimu bora sio kukaririshwa na kuwa wa ya kwanza Bali kuwa na ujuzi na maarifa, nenda Muhimbili, Udsm na SUA uone wanavyodisco waliotoka Marian, Feza na Kaizirege. Hapo ndipo utajua elimu bora IPO wali baina ya shule binafsi na za serikali. Serikali ikiamua kushindana na shule binafsi, hakuna shule binafsi itakayochomoza top 50. Unatenga shule 50, vipanga wote na walimu bora unawaweka huko. Kula mwaka unachuja na kuondoa wabovu, unaboresha mazingira na maslahi, unaweka uongozi imara na ufuatiliaji wa karibu, mbona Private wataomba pooooooQUOTE="BUMIJA, post: 30803788, member: 57649"]Miaka 3 sasa katika matokeao ya form 4 na F6 yamekua si mazuri sana kama shule za Binafsi.Sijajua serikali ama walimu na wanafunzi wa serikali wanakosea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
[/QUOTE]
Mkuu umemaliza, ahsante kwa kufafanua vzr
 
Elimu yenyewe sio kitu maana ni bure. Na kwa mujibu wa dini zote duniani kupokea cha bure ni haramu isipokuwa sadaka tu.
 
Wala haiitwi Elimu bure Bali Elimu bila ada. Sio Elimu bure isipokuwa serikali inagharamia kwa niaba ya wazazi na wazazi wanagharamia gharama ndogo ndogo. Output ya shule za serikali ni kubwa sana kuliko shule binafsi, Ila tu serikali haiko kibiashara na haishindani na MTU.
 
Elimu yenyewe sio kitu maana ni bure. Na kwa mujibu wa dini zote duniani kupokea cha bure ni haramu isipokuwa sadaka tu.
Wote waliosoma zamani walisoma bure,wakila vizuri hadi mikate iliyotiwa blue band na tan bond,kama haitoshi walisafirishwa bure kwenda kutoka majumbani kwao hadi shule walizochaguliwa hadi wanamaliza kidato cha nne na kidato cha sita,bado walijali shule na kusoma kwa bidii na ndio viongozi wengi tulionao leo.Kwahiyo suala la elimu bure wala bila ada siyo jambo linalofanya elimu itetereke kwenye shule za serikali.
 
Back
Top Bottom