Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kule mbozi mkoani songwe kuna kimondo kilidondoka na kutua hapa ardhi ya dunia, sasa najiuliza kipi kilisababisha? Vile vile kama dunia iko kwenye orbit je haiwezi kukatika kakipande na kudondoka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuhuma dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumaini Magesa mkoani Manyara, kuhusu kutoa amri ya kutiwa mbaroni kwa baadhi ya wanasiasa (madiwani) zimeibukia kwa Mhe Pinda. Mhe Christopher...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu. Nipo hapa stendi kuu ya mabasi Nyegezi Mwanza nilitaka kukata tiketi ya kesho Dar lux kuelekea dar sasa kwa bahati mbaya basi limejaa. Naulizia ni basi gani jingine zuri...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanaoishi mikoa ya kaskazini Arusha na Kilimanjaro siyo wageni sana wa kampuni ya mabasi ya Saibaba! Kuna Saibaba ya mwisho kutoka Dar to Arusha and Vice versa! Shida tupu. Halinaga haraka na...
16 Reactions
169 Replies
19K Views
Awali ya yote nichukue nafasi hii kuwapa pole sana wale wote wenye hili tatizo asilimia kubwa wakiwa ni wanaume. Ni tatizo linalokera na kufedhehesha sana, hivyo kuwanyima wengi raha na kukosa...
7 Reactions
47 Replies
18K Views
kuna jamaa yangu ni mteja wa kampuni ya simu ya tigo, kuna siku alikosea kdg kutuma muamala, kwenda kwa wakala mwingine, alipowasiliana nao wakamwambia fedha itarudi baada ya saa 24, alisubiri...
0 Reactions
4 Replies
753 Views
Leo nimepanda Gari kutoka sehemu fulani mkoa wa Pwani kuelekea Dar es Salaam Nilichokiona Ni Trafik police anapiga gari mkono Kama ishara ya kusimamisha gari. Dereva anaweka mbele halafu konda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu mchezo unataka kurudi Tena matukio haya ni Kama yalipoa ndani ya mwaka uliopita lakini 2019 kuelekea 2020 majambazi wameanza Tena kuteka Watoto. mtu mmoja ananisimulia tukio lilitokea dodoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nairobi,Kenya. Kitengo cha utabiri wa hali ya hewa nchini Kenya kimesema kimbunga Idai kilichozikumba nchi za Zimbabwe, Msumbiji na Malawi huenda athari zake zikatokea pia katika baadhi ya maeneo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Lord Mayor Dsm kiukweli jiji lako la Dsm limezidiwa na joto tunaomba uwaelekeze watendaji wako watupe mwongozo ni nini kinachoendelea. Ni hilo tu mkuu Mwita Maendeleo hayana vyama!
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakulima Nchini wanashindwa kukopesheka kutokana na ukosefu wa elimu ya mikopo kutoka taasisi za kifedha na kupelekea kuwa na kilimo kidogo kisichokuwa na tija. Hayo yamebainishwa mkoani Njombe...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Watu wengi hawajui kwa nini wazungu huwa wanasema LIFE BEGINS AT 40. Yaani maisha yako ya kweli yataanza ukifika umri wa Miaka 40. Wakati ambapo unatakiwa uwe na elimu uliyoihitaji.. Uwe na...
56 Reactions
139 Replies
23K Views
Watu watatu wakiwemo watumishi wawili wa Mamlaka ya Maji Safi Mkoani Mara(MUWASA) Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani humo imechukua hatua hiyo kwa tuhuma kuwa watatu hao wameitia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi wa kifo hicho cha Mtanzania huyo aliyefahamika kwa majina ya Chacha Olupe Mwili wake ulikutwa ukiwa unaning'inia juu ya mti siku ya jana(Jumanne). Jeshi la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa tuelewana mwenyezi Mungu ametoa maelekezo namna ya kutunza wanyama na namna ya kuwachinja. Mnyama akiumwa kama ni halali achinjwe,kama hana ugonjwa apewe chanjo,. Ni dhambi kumuguza mnyama...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tanzania na #Rwanda zinafanya mazungumzo ya kutumia ndege za Rwanda kusafirisha samaki kutoka Kanda ya Ziwa kwenda masoko mbalimbali duniani, hatua itakayofungua fursa kwa wafanyabiashara wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wengi mnajua Tanzania imetoa Msaada kwa Msumbiji kufuatia kadhia ya mafuriko. Mi nachojua charity begins at home..Ni kweli tumefikia hapo wakati watu wanadai pesa zao za korosho? Hospitali zetu...
3 Reactions
78 Replies
7K Views
Wakuu Habari za muda huu Jamani kama kuna mtu anaye fahamu jinsi ya kuangalia madeni ya trafic kupitia simu anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkazi wa kijiji cha ndachi mkoani Dodoma Bi Asha Juma anashutumiwa kwa kosa la kumchoma mwanae mikono kwa maji ya moto kwa kile kilichoelezwa ni udokozi wa nyama Kaimu mganga mkuu kitengo cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona video inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huko nyumbani Tanzania, ikimuonesha Askari wa barabarani akimtukana matusi makubwa na kumpiga vibao dereva wa Lori la mizigo bila hata...
13 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…