Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wanaoishi mikoa ya kaskazini Arusha na Kilimanjaro siyo wageni sana wa kampuni ya mabasi ya Saibaba!
Kuna Saibaba ya mwisho kutoka Dar to Arusha and Vice versa! Shida tupu. Halinaga haraka na mtu, taaratibu kama kinyonga.
Mara nyingi linaondoka Moshi / Dar saa 7 mchana bila wasiwasi wowote.
Huko njiani sasa, linapakia kila kituo. Likifika kituo chochote linasimama muda mrefuuu bila aibu.
Walishazoea ukitoka Dar lazima Arusha uingie saa 630 mpaka 7 usiku.Vivyo hivyo kama unaelekea Dar.Na njia yake kuu ni ile ya Chalinze.
Na abiria wengi huwa wamelewa, kila kituo ni kuchimba dawa mwanzo mwisho. Hawana wasiwasi.
Saibaba ya mwisho adha sana.Kama huna emergency usipande kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app