TAKUKURU Mara yawaburuta Mahakamani Watumishi wa MUWASA

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20190320_130144.jpg

Watu watatu wakiwemo watumishi wawili wa Mamlaka ya Maji Safi Mkoani Mara(MUWASA)

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani humo imechukua hatua hiyo kwa tuhuma kuwa watatu hao wameitia MUWASA hasara ya milioni 613

Azam Tv
 
Ukiwaangalia hawafanani hata na milioni moja hao jamaa, unamdhalilisha mtu halafu baadae mahakama inamkuta hana hatia.
 
Back
Top Bottom