Meya wa Jiji la Dar tunaomba mwongozo wa hali ya hewa, jua ni kali sana

Mayor ndo anayetengeneza weather?

Hakumaanisha kuwa yeye ndo anatengeneza hali ya hewa, nafikiri alitakiwa kusema mamlaka ya hali ya hewa kwa niaba ya serikali inatakiwa kutoa tahadhari ya nini watu wanatakiwa kuzingatia katika hali hii ya joto kali iliyopo kwa sasa kwani hali hii inaweza kuwa na athari kiafya pia. Tahadhali ni muhimu pia.
 
Mvua ilipaswa ziwe zinanyesha wakati huu .....kulikoni zimechelewa na mamlaka ilitangaza Au zile story za wachina kuzui mvua ili miradi yao ya ujenzi iende vizuri ni kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvua si ilinyesha kama wiki mbili tatu zilizopita mara 2 kama sikosei?mnataka nini tena?
 
Njoo Kigamboni beach ule upepo mwanana na kujiloweka kwenye maji safi kabisa huku ukiperuzi warembo ndani ya bikini wakikatiza hapa na pale..
 
Njoo Kigamboni beach ule upepo mwanana na kujiloweka kwenye maji safi kabisa huku ukiperuzi warembo ndani ya bikini wakikatiza hapa na pale..
Jangwani sea breeze nikienda wanawaje wamevaa mibukta na mitisheti. Kigamboni Beach gani hiyo niwe naweka kambi wkend?
 
Back
Top Bottom