countryboy me
Member
- Oct 30, 2018
- 95
- 81
Habari za weekend wakuu. Nipo hapa stendi kuu ya mabasi Nyegezi Mwanza nilitaka kukata tiketi ya kesho Dar lux kuelekea dar sasa kwa bahati mbaya basi limejaa.
Naulizia ni basi gani jingine zuri la uhakika ukiachilia dar lux nikate tiketi.
Asanteni wakuu.
Naulizia ni basi gani jingine zuri la uhakika ukiachilia dar lux nikate tiketi.
Asanteni wakuu.