Kutokana na matengenezo yanayoendelea kwenye hili eneo, kuna mabadiliko makubwa ya njia yametokea..
Majanga au maafa makubwa yatatokea kama hali itaendelea hivi, maana hakuna sheria inayofuatwa...
Mwaka 2015 ulishinda kwa kishindo huku ukihubiri sera zako au mambo Mbali Mbali. Baadhi ya mambo yaliyotugusa watu wa chini ni kama vile
• Elimu bure
•Uboreshaji wa huduma za Afya
• Mikopo ya...
habari wadau..
kuna fremu ya biashara nimepanga buza kwenye appartment za tajiri mmoja buza kwa mama kibonge.....
utaratibu wa hapa umenishangaza kidogo... kila mtu analipia shilingi 500 ili...
Beberu anafanya yake Venezuela muda, watu wanakufa njaa, mfumuko wa bei ni mkubwa na bei za vyakula hazishikiki, na hii ni kwa sababu hawakutilia mkazo kilimo hapo awali na walitegemea sana...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limezungumzia hatua zinazoweza kuchukuliwa kwa vyombo vya usafiri pamoja na sehemu za starehe ambazo zinapiga nyimbo ambazo imezifungia ikiwa ni pamoja na wimbo...
Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu...
Askari Polisi Tufike Tumaini aliyekuwa akikabiliwa mashtaka 13 ya rushwa, amehukumiwa kutumikia adhabu ya miaka miwili jela, baada ya kutiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Same, mkoani...
Jamani acheni masihara,matokeo ya kidato cha nne kwa somo la English ni duni sana.Uduni huu unaelekea kusababishwa hasa na uhaba wa walimu wa somo la English katika shule nyingi nchini.
Jaribuni...
Kheri ya mwaka mpya ndugu wana Jf.
Awali ya yote nimshukuru Mola kwa mwaka mwingine tena. Asante JEHOVA.
Leo ndiyo siku ya kwanza ya mwaka huu 2019 na ninampa ufunuo wa uhakika JPM na hakika...
Za Usiku wana jamvi. Nani anaweza kunisaidia namna ya kuukausha mti bila ya kuukata. Maana ulipo style ya kuukata ni ngumu sana bila ya kuharibu Nyumba au kudondokea nyaya za umeme.
Je kuna njia...
Mwanafunzi wa kime wa darasa la saba Shule ya Msingi Ifukutwa Kata ya Mpanda Ndogo Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi Ephria Valeli Kijungu (15) amejinyonga kwa kujitundika juu ya mti wa mwembe...
Imeelezwa maambukizi ya virusi vya UKIMWI mkoani Lindi yamepungua kwa asilimia 3.5 kwa tafiti zilizofanywa mwaka 2018.
Hayo yameelezwa na kaimu mratibu wa ugonjwa huo Mkoani humo Dokta HAMIS...
1-Umri 21-30+ bado Unakaa KWENU na haujishughulishi
Jiandae kuwa Maskini na ujiandae kudharaulika na jamii inayokuzunguka pia hauna sifa za kujiita Mwanaume.
2-Msimamo wa kimapenzi =0
Ikiwa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya uenyekiti wa Mariamu Ditopile Mzuzuri, imefanya ziara ya kikazi mkoani Iringa iliyokuwa na lengo na kukagua kazi ya utekelezaji wa mradi...
Jamani BRELA kwanini vijana tunataabika hivi?
Kusajili kampuni hauambiwi wapi umekosea utarudishwaa weee kila siku mara hiki hakipo sawa mara hiki umeruka mara hiki karudie,jamani eeh hii ni...
Kupata usajili wa kampuni pale brela ni ngumu sana urasimu kibao barua kuomba kutumia jina inachukua wiki mbili ' ukishalipia unapigwa wiki ikiisha ndio hapo utazungushwa miezi mara leo umekosea...
Hiki ninachokiandika ni matokeo ya observation yangu binafsi.
Moja ya shughuli zangu zinazonifanya nilipie bills zangu za kimaisha ni kusaidia employers kwenye private sector kupata waajiriwa...