Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu. Mwisho wa mwezi wa pili nilishawishika kununua kamizigo kadogo kwenye mtandao wa ebay. Taratibu zote za malipo nilikamilisha 28/2/2019 na siku iliyofuata mzigo ukatumwa na nikapewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi, Karibuni katika tafakari huria. Ni kweli inawezekana kwamba Africa ilitawaliwa kikoloni kwa makusudi ili kutimiliza mustakabali wa ustawi wa dunia. Haikuwa bahati mbaya, wala haikuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeshawishika kupachika bandiko hili baada ya upotoshaji unaofanywa na mwanajamvi mwenzetu ndugu Barbarosa. Kama mdau wa sheria, nimeumizwa, na nikapata msukumo wa dhati wa kuliweka jambo hili...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Tatizo la watu wengi ni hili, wanapokataliwa kwenye maombi ya kazi au watu waliowapenda wanakosa kujiamini wanafikiri hawatapata tena kazi nyingine au mtu mwingine. Nikwambie, Anza kujitengenezea...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbona bia zinanywewa Sana, watu wanajitahidi kuagiza zaid ya mbili,tatu,nne,tano nk wengine wanazinywa utadhani wanataka viwanda vifunywe. Soda si rahisi kunywa zaidi ya mbili(ni msala), lakin...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
VIJANA 1O WILAYANI NKASI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUWAPA MIMBA WANAFUNZI Vijana 10 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Nkasi wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kuwapa ujauzito wanafunzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo imeharibu zaidi ya ekari 100 za shamba la mbegu la wakala wa mbegu za kilimo nchini lililopo katika kijiji cha Bugaga wilayani Kasulu mkoani Kigoma huku...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe imekamata zaidi ya gramu mia moja na themanini za madini aina ya dhahabu ambayo yalikuwa yanasafirishwa nje ya wilaya kinyume na utaratibu. Akielezea tukio...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau wenye utaalamu na masuara ya Aviation naombeni mnisaidie hapa, Je pale inapotokea hitilafu na ndege ipo Angani na same time kwamba may be Pilot anajua kwamba hii inaenda kutokea ajali, je...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo Ni siku yetu wadau wa masuala ya Hali ya hewa.theme ya mwaka Huu 2019 inasema THE SUN,THE EARTH AND THE WEATHER.. Some tunajua jua ndio chanzo Cha nishati yote hapa ulimwenguni,ndio...
1 Reactions
6 Replies
889 Views
Handeni. Mkombozi Bakari (32), mkazi wa kata ya Kwamagome halmashauri ya mji wa Handeni mkoani Tanga amenusurika kifo baada ya kujichoma kisu tumboni, kuvuta utumbo wake nje. Bakari ambaye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Km mfuatiliaji wa mpira wa miguu utagundua askari wa ulaya wao wanaolinda usalama huwezi kuwakuta wanaangalia mpira hata km game Kali VP? Ila bongo hata mechi ya jkt ruvu na ndanda wanaangalia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zaidi ya kaya 150 kata ya nzovwe Mbeya mjini wamepata maafa ya mafuriko. Hivyo serikali najua ilivyosikivu itawasaidia kwa haraka sana wananchi., Km iliwezekana msumbiji kwann washindwe Tz Sent...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Daktari wa chuo kikuu cha ushirika anaitwa Dr. Maneno, ni jipu na hafai katika kazi ya kutoa matibabu na hana maadili ya kazi sababu:- 1. amekuwa akiingia kazini amelewa pombe 2. hutoa siri za...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Mara kwa mara utasikia wanawake wakipiga kelele wakitaka haki sawa na wanaume zao wengine wanashikilia mabango mtaani huku wakiandamana wengine wanaenda mpaka mahakamani wakidai haki zao. Ila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Moshi. A Malaysian businessman, Pranshanthan Krishnapillai, is being accused of using a forged passport to enter the country and engage in tourist activities for seven days. Using a Malaysian...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Anae mjua mganga mkweli wa tiba za jadi kwa MWANZA anijuze jamani .. Kila mtu na msiba wake kwa wakati wake . Nitashukuru sana. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Ndugu wana jf hivi unapomkuta mwanamke ambaye ni mke wa mtu anajiremba sana huwa inamaana gani kwao je wanapenda waume zao wawapende zaid au wanataka wanaume wa nje wawatokee?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Enzi za kikwete nilipitia katika Hali ngumu Sana kwani ilikuwa Ni aibu Mara kwa Mara nilikuwa nikigombana na baba mwenye nyumba akitaka pesa yake.lakini ki ukweli toka Magufuli awe rais pamoja na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hizi tuzo za I CAN kwa wenye ulemavu waliofanikiwa zipo biasead sana kwanza wangeta tu ni ZA WANAWAKE WENYE ULEMAVU bz kuna wanaume wanashiriki kila mwaka na vigezo sawa hata kuwazidi hao wanawake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…