Soda ni hatari kwa afya yako, sioni hili kwenye...

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Mbona bia zinanywewa Sana, watu wanajitahidi kuagiza zaid ya mbili,tatu,nne,tano nk wengine wanazinywa utadhani wanataka viwanda vifunywe. Soda si rahisi kunywa zaidi ya mbili(ni msala), lakin bia, ukinywa moja wanakushangaa, na ukipita sehemu yenye wanywaji Kuna burudani, mziki, michemsho, misosi mpaka supu.

Cha ajabu soda, moja kila siku
Unahatar ya kupata kansa
Hatari ya kupata kisukar
Hatar ya kunenepa Sana
Hatar ya kupata pressure
Hatar kibao

Pombe hii bia zina madhara? Nikinywa moja kila wiki,mwezi?

Weekend Love
 
Mbona kama mwishoni umeandika muharo hebu tulia basi usije usambaza. Tulia ndo uandike acha wenge
 
Habari ya Lipumba kuhamia ACT ni kweli mkuu?
Yani ulichoandika ni kama hilo swali hapo chini
Bia zinanyweka Sana, watu wanajitahidi kuagiza zaid ya mbili,tatu,nne,tano nk wengine wanazunywa utadhani wanataka viwanda vifunywe. Tena ukipita sehemu yenye wanywaji Kuna burudani, mziki, michemsho, misosi mpaka supu.

Cha ajabu soda, moja kila siku
Unahatar ya kupata kansa
Hatari ya kupata kisukar
Hatar ya kunenepa Sana
Hatar ya kupata pressure
Hatar kibao

Pombe hii bia zina madhara? Nikinywa moja kila wiki,mwezi?

Weekend Love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom