KIGOMA: Mvua yaharibu mashamba na majengo ya shule

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo imeharibu zaidi ya ekari 100 za shamba la mbegu la wakala wa mbegu za kilimo nchini lililopo katika kijiji cha Bugaga wilayani Kasulu mkoani Kigoma huku ikuezua paa za nyumba kadhaa na kubomoa kuta za majengo ya vyumba 4 vya madarasa katika shule za msingi Nyaruhande na Bugaga zilizopo wilayani humo .

ITV imefika katika maeneo ya shamba hilo la wakala wa mbegu za kilimo na kushuhudia uharibifu uliotokana na athari za mvua ambapo mtaalamu wa mbegu kutoka wakala huo Baraka Mbenye akisema uharibufu ni kubwa.

Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Martin Ottieno ameema jitihada za kuwasaidia watu walioathirika na mvua hizo zinaendelea.

ITV
 
Serikali haikuleta mvua. Kwa kauli ya kichaa jiweMvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo imeharibu zaidi ya ekari 100 za shamba la mbegu la wakala wa mbegu za kilimo nchini lililopo katika kijiji cha Bugaga wilayani Kasulu mkoani Kigoma huku ikuezua paa za nyumba kadhaa na kubomoa kuta za majengo ya vyumba 4 vya madarasa katika shule za msingi Nyaruhande na Bugaga zilizopo wilayani humo .

ITV imefika katika maeneo ya shamba hilo la wakala wa mbegu za kilimo na kushuhudia uharibifu uliotokana na athari za mvua ambapo mtaalamu wa mbegu kutoka wakala huo Baraka Mbenye akisema uharibufu ni kubwa.

Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Martin Ottieno ameema jitihada za kuwasaidia watu walioathirika na mvua hizo zinaendelea.

ITV
 
Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo imeharibu zaidi ya ekari 100 za shamba la mbegu la wakala wa mbegu za kilimo nchini lililopo katika kijiji cha Bugaga wilayani Kasulu mkoani Kigoma huku ikuezua paa za nyumba kadhaa na kubomoa kuta za majengo ya vyumba 4 vya madarasa katika shule za msingi Nyaruhande na Bugaga zilizopo wilayani humo .

ITV imefika katika maeneo ya shamba hilo la wakala wa mbegu za kilimo na kushuhudia uharibifu uliotokana na athari za mvua ambapo mtaalamu wa mbegu kutoka wakala huo Baraka Mbenye akisema uharibufu ni kubwa.

Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Martin Ottieno ameema jitihada za kuwasaidia watu walioathirika na mvua hizo zinaendelea.

ITV
Hebu fafanua vizuri je maisha ya watu yameathiriwa? Kama ni ndio kwa kiasi gani? Je miundo mbinu kama majengo ya serikali, nyumba za wakazi, barabara nk. Misaada gani inahitajika kwa waathirika je tathmini za uharibifu zishafanyika nk. Ukamaliza hayo saa boresha bandiko lako
 
Serikali haikuleta mvua. Kwa kauli ya kichaa jiwe

mtajaza kudadadeki chapeni kazi mimi naserebuka hapa alululu luluuuu
Screenshot_20190321-093813.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom