Habari zenu.
Mwisho wa mwezi wa pili nilishawishika kununua kamizigo kadogo kwenye mtandao wa ebay. Taratibu zote za malipo nilikamilisha 28/2/2019 na siku iliyofuata mzigo ukatumwa na nikapewa tracking number.
Tracking history inaonyesha mzigo ulitoka vizuri china hadi transit country (haijatajwa ni nchi gani) na last tracking information inaonyesha ulitoka transit country 10/3/2019 08:32:54 na hadi leo ni zaidi ya siku 13 hakuna update yoyote.
Wasiwasi wangu uko hapa. Hiyo tarehe na mida hiyo ndio ndege ya ethiopia ilipata ajali (RIP wahanga wa ajali hiyo) isijekua na mzigo wangu ulikua ndani ya ndege hiyo. Ikiwa ninachofikiria ndicho, je nifanye nini ili niweze kupata kutumiwa tena mzigo upya.
NB:
Kuna mzigo mwingine nimepokea nilinunua baada ya huu ambao haijulikani ulipo
Screenshot ya tracking