Tuzo za Dr Mengi zina walakini

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Hizi tuzo za I CAN kwa wenye ulemavu waliofanikiwa zipo biasead sana kwanza wangeta tu ni ZA WANAWAKE WENYE ULEMAVU bz kuna wanaume wanashiriki kila mwaka na vigezo sawa hata kuwazidi hao wanawake ila wanaachwa pia mbona ulemavu umebezi kwenye viungo kama miguu tu?

Kuna watu kama VIZIWI, VIPOFU, WENYE VIGUGUMIZI na wengineo mbona hatuoni hata mwaka 1 wakishinda kila mwaka inakua marudio tu?

Badilikeni
 
Hii sera ya kuwapa nafasi jinsia ya kike na kuwawezesha inaanza kunikera, maana ni ya kinafiki na kibaguzi. Inalenga kumkandamiza na kumdumaza mtoto wa kiume!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tuzo za I CAN kwa wenye ulemavu waliofanikiwa zipo biasead sana kwanza wangeta tu ni ZA WANAWAKE WENYE ULEMAVU bz kuna wanaume wanashiriki kila mwaka na vigezo sawa hata kuwazidi hao wanawake ila wanaachwa pia mbona ulemavu umebezi kwenye viungo kama miguu tu?
Kuna watu kama VIZIWI, VIPOFU, WENYE VIGUGUMIZI na wengineo mbona hatuoni hata mwaka 1 wakishinda kila mwaka inakua marudio tu?
Badilikeni
Anzisha tuzo yako kwaajili ya hao, Kila tuzo hulenga kundi Fulani, yeye kaamua kuwatambua hao, Mimi nawe tuanzishe tuzo zetu kwa makundi yalobaki. Nawe umekuwa mbaguzi, mbona walemavu wengine hujawataja?
 
Back
Top Bottom