Wanawake mnaojifanya kudai haki sawa kwa wote hukumu ya Mungu inawasubiri

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Mara kwa mara utasikia wanawake wakipiga kelele wakitaka haki sawa na wanaume zao wengine wanashikilia mabango mtaani huku wakiandamana wengine wanaenda mpaka mahakamani wakidai haki zao.

Ila jueni nyinyi wanawake mnaojifanya kudai haki sawa kwa wote hukumu ya mungu inawasubiri jueni kazi ya mungu haina makosa na mungu ajakosea kumfanya eva kuwa msaidizi wa adamu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajali hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nzuri ni kwamba nyie ndio mnatusaidia kuhubiri hii haki sawa, kwa maana nyingine ni kwamba nyinyi ndio mnataka hii haki sawa. Ila kwakuwa hamjui mnachokitaka basi hali tafrani.
 
Bahati nzuri ni kwamba nyie ndio mnatusaidia kuhubiri hii haki sawa, kwa maana nyingine ni kwamba nyinyi ndio mnataka hii haki sawa. Ila kwakuwa hamjui mnachokitaka basi hali tafrani.
Mwanaume wa kiafrica akubali haki sawa na mkeo,sio kwel hata mila zetu hazituruhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke na Mwana Ume atabaki kuwa Mwana ume, kwanini nasema hivyo nikwasababu mwanamke hawezi kujisaidia hajandogo akiwa amesimama, lakini mwanaume anaweza akiwa kasimama au ka chuchu maa. Ndio maana mwanamke ni ubavu wa mwanaume iweje tena ubavu unataka kuwa sawa na mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom