ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,399
Leo Ni siku yetu wadau wa masuala ya Hali ya hewa.theme ya mwaka Huu 2019 inasema THE SUN,THE EARTH AND THE WEATHER..
Some tunajua jua ndio chanzo Cha nishati yote hapa ulimwenguni,ndio inayosababisha wave katika bahari na kuathiri pakubwa pamoja na kuchangia pakubwa Sana katika mzunguko wa mvua.
Jua ndilo linalotupa mood ya kufanya shughuli mbalimbali kutilia ndani Sanaa mbalimbali,uchukuaji wa picha na mziki