Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameizindua nyumba ya Rose Kagoma iliyounganishiwa umeme wa REA katika Kijiji cha Ruganga Wilayani Kibondo
Katika hafla hiyo iliyofanyika Machi 24 mwaka...
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela washtakiwa wawili na mmoja kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa...
Ongezeko la joto lahatarisha uwepo wa miji iliyopo pwani
Kuna uwezekano wa kuwepo na mabadiliko makubwa ya tabia nchi hivi karibuni kama inavyoelezwa kwenye ripoti ya wanasayansi iliyozua mjadala...
Kwa mfano mtu anasema Kuna joto na Kuna baridi..sio kweli,ukweli Ni kwamba kitu kinaweza Kuna na joto na kisiwe na joto.there is a light and there is no light..huo ndo ukweli vitu haviendi viwili...
Matolori ya kuuzia ice cream yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo mjini magharibi Unguja.
Hivi karibuni mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Zanzibar...
Jamani tujikumbushe kwa mliowahi kusafiri kwa treni,hizi treni zetu za dunia ya tatu..mimi ilikuwa natoka DODOMA kuelekea MWANZA,baada ya kukamilisha taratibu za tiketi ambayo nilikata wiki mbili...
Katibu wa Wizara ya Afya, Prof. Muhammad Bakari Kambi amesema wizara imeruhusu matangazo hayo katika redio na runinga baada ya kurekebisha Mwongozo wa Vigezo kwa matangazo hayo
Matangazo hayo na...
Kuna watu kadhaa ambao walikuwa na Tabia mbaya sana, lakini baada ya kupelekwa gerezani au Mahabusu na kukaa huko kwa muda flani, naona sasa wamekuwa na tabia njema na naona wanaanza kuwa mfano wa...
Mhariri mwandamizi wa baraza la kiswahili Tanzania (BAKITA) ndugu. Honi Sigara, kuanza kutumiwa kibiashara kwa mgongo wa taasisi hii (BAKITA) je ni sawa? Kuna tangazo moja linasikika redioni...
kuendelea na Ujenzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo katika ziwa Victoria; kufikia asilimia 82 ya ujenzi wa meli moja mpya yenye uwezo wa kubeba abiria 200 na...
Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016.
Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa...
This is a short unauthorised biography of a great son of Tanzania, Ruge Mutahaba.
I like to start by comparing Boss Ruge, as many people used to call him, to a famous American muslc record...
Wakuu habari za jumanne
Nimewaza hii kitu,nikajiuliza ni akina nani wanahusika kuandika/ku update wikipedia?
Nataka na mimi niandikwe, kwa watz naona ni watu muhimu saaaana ndo wanaandikwa,lakin...
Chukulia mfano Roli kubwa (truck) lenye uzito wa 50tons baada kusafili kutwa nzima, Roli hilo lilizimika punde baada ya kufika katikati ya daraja lenye urefu wa kilometa moja,
Ikiwa daraja hilo...
Nauliza hivi kuna uwezekano wa mimi kurejesha deni la kwanza la 22.8K na kukopa 40K??.
Vyuma vimebanana hatari,naomba kwa watumiaji wa tala mnipe mwanga
Leo naomba niwasilishe kero yangu kwa hawa jamaaa wa airtel timiza kwani wanasema unapoweka akiba katika akaunti yako unapata zawadi. ambapo zawadi yenyewe ni 5% ya kiasi ulichoweka kisha unaigawa...
Ndugu wana jamii forum habarini saana.
Nimekuwa nikimsikiliza muheshimiwa kabwe zuberi mara kadhaa wa kadhaa katika kipindi chake chote cha uongozi ntangu akiwa mwana chama hodari wa chama cha...
Namna ya kujenga hoja vyema:namna bora ya kuonyesha kutokubaliana na namna ya kushinda
21 Machi 2019
Je kuna namna nzuri ya kutokukubaliana hoja na watu wengine? Unaweza kuwa na hoja za kujenga...
Mlinzi namba1 wa mh Rais wa nchi yoyote ni first lady.
Najiuliza VP anapewa training? Yeye pekee anapata nafasi ya kuwa nae wawili tu chumbani.
Yeye peke yake anamuona mh akiwa amelala...
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu Mwingi wa kudra na rehema zake kwetu sisi walimwengu.
Baada ya kuiombea mvua kwa 'kipindi kirefu' nikajikatia tamaa na kujikuta nikijisemea, hata isiponyesha, mbona...