Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameizindua nyumba ya Rose Kagoma iliyounganishiwa umeme wa REA katika Kijiji cha Ruganga Wilayani Kibondo
Katika hafla hiyo iliyofanyika Machi 24 mwaka huu, Waziri Kalemani amewataka Wandarasi kutokubagua Wananchi kwenye mradi huo
Kijiji cha Rugunga kimeunganishiwa umeme kupitia mradi wa umeme Vijijini wamu ya tatu sehemu ya kwanza(REA)